
lirik lagu savara - reggae ya kinyozi
wooyyy
hii ni reggae ya kinyozi
hapa hakuna kunyolewa na deni
hapa kazi tu hakuna ujuaji
mwenzako akinyolewa chako tia maji
wowooiiii
hii ni reggae ya kinyozi
inapendwa na wanati na wadosi
haichagui sura haichagui ngozi
na ikikupata ikupate na mapozzi
look where we began
kwa corner za hii mtaa
mbogi yangu ya ghetto
tulitoka maringo
tuko on the other side
look who you’ve become
wasee wanoma sana
wasanii wamesoma
kuna mafootballer na mageneral
i remember good times
living on the east side
why lie
it used to be so nice
i hope we can get to do it one more timе
eiiihhh
hata ka sina maweng
doba lazima tubeng
usikubali kuparara
looku ongeza sahara
mbogi yotе imejam
juu gava yetu imelala
deal zote ni haram
that’s why we living on the run
i remember good times
living on the east side
why lie
it used to be so nice
i hope we can get to do it one more time
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dolores forever - dreams
- lirik lagu seni (pol) & inee - chodź poczekamy na deszcz
- lirik lagu georgia webster - mutual ghost
- lirik lagu delilah brao - dodged a bullet
- lirik lagu tg 50 - “overheat mode”
- lirik lagu ernest tubb - i'm trimming my christmas tree with teardrops
- lirik lagu fall to pieces - suicidal love
- lirik lagu rosario alfonso - la vidita :)
- lirik lagu lil revive - freaky fields
- lirik lagu maxon - who tf are u ?