lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sauti tamu melodies - watumishi wake baba

Loading...

watumishi wake baba w~ngapi waliopo
wanakula na kusaza chakula chake baba

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
akakimbia k~mlaki kamk~mbata na busu

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba sistahili tena kuitwa mwana wako
unifanye kama mmoja wa watumishi wako

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba
baba yangu nimekosa ninaomba huruma
unisamehe nirudi nikakutumikie

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
meza imeandaliwa inaningoja mimi

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

nasogea ninakuja ninakukimbilia
mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee

nami ~ nami nataabika hapa
nashi ~ nashiriki na nguruwe
chaku ~ chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita ~ nitarudi na kusema
baba ~ baba yangu nisamehe
nime ~ nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...