lirik lagu sauti sol - unconditionally bae
[verse 1: bien-aimé]
we all need love
we all need affection
and the way that you’re looking at me
i can feel a connection
unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
[verse 2: savara]
juu sikuizi madem wanapenda doh
na machali pia tunazo drama
ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama
so nipe nafasi
nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
hallelujah
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
[verse 3: alikiba]
we all need love
me i need a wife, wa kuishi na yeye
fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
jina langu ali, sasa lazima nilee
nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima
and i belie-eeeve, nitakuwa nawewe
mwanzo mpaka mwisho
and i belie-eeeve, baibe
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
ali
(b-maye)
sauti sol
(b-maye)
east africa
(b-maye)
tanzania kenya
(b-maye)
kigali
(b-maye)
bujumbura
(b-maye)
kampala
(b-maye)
kinsasha
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fugitive three - legend
- lirik lagu prāta vētra (brainstorm) - polka (cilvēks bez ēnas)
- lirik lagu vîrus - le furtif et le mystérieux
- lirik lagu lil shtump - tbh
- lirik lagu welshly arms - down to the river (acoustic)
- lirik lagu sixrose x ñu:null - training
- lirik lagu tim staffell - stray
- lirik lagu fanatics (k-pop) - 지금 이 순간을 (remember)
- lirik lagu tyfromthefuturr - lie to me
- lirik lagu young nudy - ice chain