lirik lagu sauti sol - kuliko jana
[chorus]
bwana ni mwokozi w~ngu
tena ni kiongozi w~ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
[verse 1]
nakuomba mungu uwasamehe
w~ngalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
na maadui w~ngu nawaombea maisha marefu
wazidi kuona ukinibariki
ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
walimsulubisha yesu messiah bila kusita
ooh, na
[chorus]
bwana ni mwokozi w~ngu
tena ni kiongozi w~ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
[bridge]
wewe ndio nategemea
kufa kupona baba nakutegemea (amen)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (ooh~ooh, yeah)
wewe ndio nategemea (amen)
kufa kupona baba nakutegemea (oh~oh)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (eh, wewe ndio nategemea)
wewe ndio nategemea
kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)
wewe ndio nategemea (kwa nguvu zangu zote)
kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea (oh~oh~oh~oh)
[chorus]
na bwana ni mwokozi w~ngu
na tena ni mkombozi w~ngu
ananipenda leo kuliko jana
baraka zake hazikwishi
si kama binadamu habadiliki
ananipenda leo kuliko jana
kuliko jana (kuliko jana)
kuliko jana
yesu nipende leo kuliko jana
kuliko jana (kuliko jana)
kuliko jana (kuliko jana)
yesu nipende leo kuliko jana
[outro]
wewe ndio nategemea (wewe)
kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
chochote kitanikatsia (uh~huh)
kuingia mbinguni utaniondolea
wewe ndio nategemea (ooh)
kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
chochote kitanikatsia
kuingia mbinguni utaniondolea
na bwana ni mwokozi w~ngu (amen)
tena ni mkombozi w~ngu (amen)
ananipenda leo kuliko jana (amen)
baraka zake hazikwishi (amen)
si kama binadamu habadiliki (amen)
ananipenda leo kuliko jana (amen)
kuliko jana
kuliko jana
nipende leo kuliko jana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu starr chen - ego-holic (feat. jolin tsai) [戀我癖 (feat. 蔡依林)]
- lirik lagu angus and julia stone - the hanging tree
- lirik lagu changmo - 나에 대한 곡 (sing about me)
- lirik lagu vitinho - sobrenome
- lirik lagu jamie campbell bower - venice
- lirik lagu distich - sinking in the ocean
- lirik lagu gameboy jones - not sold
- lirik lagu tron legac - pullin up
- lirik lagu truly high & puremind - why
- lirik lagu favian lovo - sin tu amor