lirik lagu sauti sol - it's okay
mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
mbona hivyo,
yo yo yo
mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
mbona hivyo,
yo yo yo
mbona baby siku hizi nakupigia simu haushiki
na mbona baby siku hizi nakuita lazizi huitiki
unataka nifanye nini?
nijitie kitanzi ama vipi?
mama, nipende kama before, ilivyo, no no no
nasema
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke (si unitoke)
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke
uende, uende
uende, uende …
dada tulia nikufute machozi
na uwache kuhofia ju ya maana ya mapenzi
ucho nacho chanitosha, una urembo wa malaika
lakini ka wataka kuishia, sitakuzuia, no
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke (si unitoke)
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke
uende, uende
uende, uende …
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke (si unitoke)
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke
uende, uende
uende, uende …
mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
mbona hivyo,
yo yo yo
mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
mbona hivyo,
yo yo yo
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke (si unitoke)
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke
uende, uende
uende, uende …
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke (si unitoke)
it’s okay, it’s okay
si unitoke, unitoke
uende, uende
uende, uende …
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu alice raucoules - au secours
- lirik lagu logouxarin - omhros
- lirik lagu nicole - don't stop
- lirik lagu wolfɇ - stay
- lirik lagu above & beyond - thing called love feat. richard bedford
- lirik lagu teddy blow - watch out
- lirik lagu planet of zeus - them nights
- lirik lagu asaad (saudi money) - balcony/fur is murder
- lirik lagu ben - i love a gangster
- lirik lagu sean tizzle feat. black jersey - like to party