lirik lagu sauceboiz - uli switch
(chorus: linkyonwaves)
joh uli switch
ultaka mullah kunitokaa juu ya d~ck
now uko solo una lia uko p~ssed
me niko fiti niki saka hizo mill
sijai lala njaa me hupata meal
ultaka mullah kunitokaa juu ya d~ck
now uko solo una lia uko p~ssed
me niko fiti niki saka hizo mill
sijai lala njaa me hupata meal
(verse 1: linkyonwaves)
okay alright, okay alright
wana bonga sana, wana bonga more
but wanaji tenga tuki bonga doh
dm pale ig ina over flow
wana uliza kwani sauce si ni nani
napenda bag zangu zikijaa maganji
na usi switch hizo ni tabia gani
ukinitoka nita lia kama manzi
k!ller, k!ller oh k!ller, k!ller
si nimekudedi nime jipa jipa
k!ller, k!ller oh k!ller, k!ller
si nimekudedi nime jipa jipa
(chorus: linkyonwaves)
joh uli switch
uli taka mullah kunitoka juu ya d
now uko solo una lia uko p~ssed
me niko fiti niki saka hizo mill
sijai lala njaa me hupata meal
uli taka mullah kunitokaa juu ya d~ck
now uko solo una lia uko p~ssed
me niko fiti niki saka hizo mill
sijai lala njaa me hupata meal
(versе 2: linkyonwaves)
papizzing
drip forever, looku ni fisa looku ni clеan
nikipiga mboka kama kawa ni ku win
style yangu si free and never will be
nyi mkisaka kiki, me na piga mziki
dame aki enda missing jua ana pigwa miti
sitambui mbwakni nikiflex mali authentic
wengi wana degree na bado hawana kazi
na wenye zero degrees wana andika wa masters kazi
no cap mi huwa na code
majina, sitaji
una chocha best rapper wako hana kipaji
zake ni kuforce kuchochwa na mbogi
sitambui razzi, sitambui b~tty
sitambui shokde maana mi naifanya saa hii
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu alice in chains - it ain't like that - live 1992
- lirik lagu ms2013 - words of encouragement
- lirik lagu bigg santti - i w y u
- lirik lagu west side family - cerri
- lirik lagu bol4 - 아름다운 건 (what make us beautiful)
- lirik lagu mors principium est - inhumanity (re-recorded 2022)
- lirik lagu wizxjack'ydg - pools
- lirik lagu bartko - ciągle dres
- lirik lagu cristina quesada - be my baby
- lirik lagu rüzgar (tr) - beni bir daha sevme