lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sauceboiz - party pooper

Loading...

(verse 1: linkyonwaves)
smoke shasha, me ndio big zaza
ana pata njw~nga, then i ghost bana
nilikuwa out for a day or two
nili black out but i’m back hi boo
liquor ina fanya tuna chizi
life ni fupi take it easy
you wanna take a ride do a wheelie
i got big plans me ni king b
tuli sare chase si hupiga neat neat
mif~ko iko fiti imekuwa big big
bounce a long, bounce a long
liquor ni hennessy, tuko round the clock
bounce a long, bounce a long
liquor ni hennessy, tuko round the clock
smoke it, get litty
chase the bags, get freaky
(chorus: linkyonwaves)
tuko na papi, we ni nani
don’t cross me, me si rodi
niko na chargie pia nina mbogi
umenikufa laki wewe ndio huoni
nita kuteka baby girl usi worry
vile naroga nickname ni murogi
vile naroga nickname ni murogi
vile naroga nickname ni murogi

(verse 2: papizzing)
beef ya nini kama hatusosi
kujichocha na morio hautosi
we mhenga au wewe ni fossil
party p~~per ametokwa na mashorties
wametudedi juu vibes zetu konki
nili lala ndani k~mbe huyo shorty hukuwa police
nilisahau jina wewe ni doreen ama dorice
big bum bum, tingisha rasa
big mama, nipeleke na rada
kapole kapoa, lakini kana penda shasha
tukiwa pamoja micasa sucasa
akiwa mbali nabaki nikiwaza
ye hupenda nikishika coz she knows i’ll never stop
when i’m done niko chini she will put me at the top
(chorus: linkyonwaves)
tuko na papi, we ni nani
don’t cross me, me si rodi
niko na chargie pia nina mbogi
umenikufa laki wewe ndio huoni
nita kuteka baby girl usi worry
vile naroga nickname ni murogi
vile naroga nickname ni murogi
vile naroga nickname ni murogi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...