lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sara nyongole - fungua

Loading...

iliyopondeka
itetemekayo
iliyofunguka

watoto wako bwana
tuko mbele zako tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
watoto wako bwana
tumekusanyika tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena

fungua
mioyo yetu bwana iponye
fungua
mioyo yetu bwana ipone

fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone

najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako

fungua
mioyo yetu bwana ipone
yesu fungua
mioyo yetu bwana ipone

fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone

mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka

iliyopondeka
itetemekayo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...