lirik lagu sanja kong - payday
jua kali lazima ni win
hata kama haijakaa kwenye way
na usiku wanakuja mademon
wachawi w~nga wanataka nipotee
fashooo, i do not stop
mutanikuta juu on top
mafoo wengi wamejaa
kw~ngu mumeyavagaa
kama unajua unajua tu
kama hujui hujui hujui tu
boda nimevuka mbali sikuachi mwanagu
tanto scooby doo
kama unahate nahate tu
kama una love na love i love you too
og codes, yeah we keep it true
movement like a soldier 26 number ananipa order
huu ni mguu wa kutoka umeshabarikiwa umeoga
nachana kia boda, kila chocho na kila kona
nawakimbiza wanaona wamekwama na wanaona
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko legе lege
mayday mayday
airport control tell еm we made it
siko na begi niko na kadi niko na bebe bebe
stunt zangu over 18, mabusu kede kede
mtoto flani hivi mtu mbadi uno ni gwede gwede
kwenye vita unataka peace
kwa demu wako unataka unidiss
yani ta ta ta ta kama biss
nampiga kibunda nampiga na kiss
na unajua tukilenga hatumiss
you aint getting it better than this
unaniponiona ndo niko na ofisi
tuko na stake, mifupa kwa fisi
be be belair ziko mezani
na na naelea tu kwenye mjani
unahisi naelewa unachosema k~mbe mwenzako nachora ramani
ukisema balling toka zamani
ukisema beef hapa amani
haters wameshakata katani (ani, ani)
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
ukituona batani tunaball, tuko very very
mayday mayday
muda wa pesa, payday payday
maana mishe zangu huziwezi bro uko lege lege
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu a prophet among us - declare peace
- lirik lagu ripley - sunny day
- lirik lagu зоха (zoha) - самый лучший друг (the best friend)
- lirik lagu elmusto - üç çizgi - walk and flow
- lirik lagu burly wood - side by side
- lirik lagu lil jon jon - od
- lirik lagu 罗言 (rollflash) - 我的世界一直下雨(it keeps raining in my world)
- lirik lagu elly (엘리) (singer) - 감각의 제국 (empire of the senses)
- lirik lagu mia. (band) - tortenguss
- lirik lagu lyra messier - helixx