lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu samaki mkuu - dance with me

Loading...

dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila con migo

tunaketi kando ya bahari
ambapo waliunda kiswahili
na tun~z~angalia jahazi
zinazosafirisha bidhaa mbali

when we are sitting next to the sea
there’s not a place i’d rather be
looking at you i am filled with glee
miaka imekuja, miaka imenda
tukiwa pamoja hakuna kutenda
years have come, years have gone
two parts that sum are greater than one
nilikuomba kukuoa
kwenda gotini na kutoa
pete na mistari yangu
kujaribu kukuleta kw~ngu
dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

i asked you if you’d marry me
on the cliff i got down on one knee
i brought out the ring that held the key
to allow us forever to be
pamoja kwa miaka k~mi na tatu
tumekuwa cheuzi cha viatu
nitakulinda dhidi ya chatu
na nyoka wanaoumiza watu
we’ve been together for over a decade
you’ve been my one time mermaid
i was lucky to be able to persuade
you to be my bride and not a bridesmaid
bila we maisha yangerembuka
napenda kuk~mbuka
nyakati hizo tulipovuka
daraja bila kuanguka
dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

sasa nataka unitupe maoni
sitaki ungoje mpaka jioni
protoni, elektroni zinavutiana
pamoja sisi tuna maana
so please give me yours eyes and ears
for you i have time for your tears
you’ve been there through all the years
helping me overcome all my fears
nashukuru, nashukuru
unanipatia unvumilivu
thank you, thank you, thank you
for giving me freedom i never knew

dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo
dance with me
cheza nami
danse avec moi
baila conmigo

ooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...