lirik lagu samaki mkuu, jabali afrika - maisha
yeah
scooby doo doo doo doo doo
eeh
[verse]
maisha si rahisi
si kitanda cha maua
utavuna ulichopanda
usitamani cha mwenzio
fanya kazi kwa bidii
ueze kula jasho lako
maisha mwendo wa aste aste
eeh
[chorus]
maisha in mpangilio
maisha ni pole pole
maisha si ni zoezi
maisha ni aste aste
aste aste
aste aste
hey
[verse]
eeh
usinipe cha mwenzio
watakuua bure
usile kisicho halali
watakufunga jela
usitumie mihadharati
utakufa mchanga
maisha mwendo ni aste aste
eeh
[chorus x2]
maisha in mpangilio
maisha ni pole pole
maisha si ni zoezi
maisha ni aste aste
aste aste
aste aste
hey
scooby dooby doo doo doo
eh de de
scooby dooby doo doo doo
[verse]
ndeko sala mosala
ko lemba lemba te nalobi sala mosala
vie eza difficile sala effort
luka ata moi mosala osala
yango nde etindi bato ba respect yo
mokili oyo etondi ba probleme
kondima ko sala mabe te po ozoi mbongo
utilize makasi na mayele nayo
nzambe ako pesa yo
nzambe ako pambola yo pe oko mona
nzambe ako pesa yo
nzambe ako pambola yooo nalobi sala
[chorus]
maisha in mpangilio
maisha ni pole pole
maisha si ni zoezi
maisha ni aste aste
aste aste
aste aste
hey
[verse]
ukifanya kazi na roho yako, you succeed
kila siku songesha mbele coco, take heed
usisimame uchovuni loco, take the lead
hamisha mlima poco by poco, everyday read
majiji yanajengwa na watu not afraid to bleed
dhana hii utasoma in every dini and creed
ni njia kuwa a big dog, no matter the breed
usidhania you’re less than, world inakuneed
ni muhimu to know where you’re from, that’s guaranteed
changamoto bila shaka, but avoid greed
hatimaye sisi wote tunaaga, i must concede
but sharti you look forward and move with speed
chagua marafiki kwa makini, it starts from the seed
all the big trees you see, ni vile waliproceed
lazima uvumilie to earn blue shoes suede
take the lessons from me, tafadhali
nakuplead, plead, plead, plead, plead
[chorus]
maisha in mpangilio
maisha ni pole pole
maisha si ni zoezi
maisha ni aste aste
aste aste
aste aste
hey
petit a petit l’oiseaux fait son nid
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu julio gomes - o beija flor, a flor e o sujeito
- lirik lagu jourdan hines - can't stop the feeling
- lirik lagu soaked in disillusion - averse to
- lirik lagu wesley willis - nfl shit
- lirik lagu idle hands (metal) - it doesn't really matter
- lirik lagu conception - of raven and pigs
- lirik lagu leellamarz & panda gomm - bambooclub
- lirik lagu banda horizonte - the anchor
- lirik lagu chronyc. - way back home
- lirik lagu bert jansch - buckrabbit