
lirik lagu salmin swaggz - yeba
[intro: maddoh]
yeba, yeba, yeba, yeba
[verse 1: damian soul]
kalivyo simple hakana noma
kashepu dede ka amechorwa
chumbani soka ka maradona
michezo ya mbuzi kagoma
ungeza utundu, niteke
nitupe magongo, kiwete
basi punguza mapepe
na mi mazaga nilete
baby yooh baby
umenikamata kamatika
mwenzio sijiwezi, nimeloa
sijiwezi
[hook: maddoh]
yeba, yeba, yeba, yeba
yeba, yeba, yeba, yeba
[bridge: damian soul]
anacheza, ananesa
anatikisa, anadeka
anapenda, anacheza
anadeka, ananesa
anacheza, ananesa
anatikisa, anadeka
anapenda, anacheza
anadeka, ananesa
[verse 2: salmin swaggz]
naskia kuna viswaswadu vinakukataa
wanakushangaa kwanini umedata na huyu jamaa
unafanya mpaka najiuliza mama “who am i?”
wa kunipa vyote hujabikiza, nifungue tai, please
usiwe sio, with your dior
you k!lling me ohh!
so treat me like your daddy oh
wasikudanganye wakakushika maskio yeah
umbea umbea wasiniletee
na hilo shepu lako unanifanya niwe, (yeba)
na nnavyompenda mjomba usihadithiwe, (yeba)
smart kama k. ntuyabaliwe (yeba)
niache nikutunze wasije wakaku beba
kashanichanganya na mapenzi, (penzi)
nahonga mshahara wote kila mwezi, (mwezi)
moyo ushapagawa na mikiki, ashanigombanish~ga na marafiki
kisa tu utamu jamani
[bridge: damian soul]
baby ooh baby
umenikamata kamatika
mwenzio sijiwezi, nimeloa
sijiwezi
[hook: maddoh]
yeba, yeba, yeba, yeba
yeba, yeba, yeba, yeba
[bridge: damian soul]
anacheza, ananesa
anatikisa, anadeka
anapenda, anacheza
anadeka, ananesa
anacheza, ananesa
anatikisa, anadeka
anapenda, anacheza
anadeka, ananesa
[outro: maddoh]
yeba, yeba, yeba, yeba
yeba, yeba, yeba, yeba
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu paranorma - the path
- lirik lagu guty - diabla
- lirik lagu flaco g - gde wow
- lirik lagu hella savage - police car
- lirik lagu mercury (merc!) - excuse me, it's mercury!
- lirik lagu motorpsycho - laird of heimly
- lirik lagu billlie - the savior
- lirik lagu koujas - throwed off
- lirik lagu soulard - uma thurman
- lirik lagu jill paquette - sunshine