lirik lagu salmin swaggz - pigo takatifu
(verse 1) – salmin swaggz
sihitaji kukuaminisha kua lini nilianza game
i go by the name “rappers couldn’t ever be the same”
ila therapy ya rap got them worship in my name
but these ni–as so lame couldn’t notice i became
kama stick kwenye kick nikiblow kama hillary-charles
zikitick kwenye koo, mpunga-dinary
mars wanakwenda tunarudi kama binary-codes, nnapopenda wala sizugi…
kwenye street nina mbegu bila maji zinamea mea mea
safisha kichwa na tumbo kama wana-diarrhoea
mi ni star iliyofifia, never mind what i flare
wanastare, but i care about the share that i bare
oh yeah, hii game mi nabomoa na ku-repair
unahitaji mafunzo kama manual ya mp3 player
wanaibuka siku mbili kesho ya tatu wanapotea
nani m-ssaburi? mtaani wanavyojua mi ni mayor
i’m fly sina mbawa but i’m better that i’m never been
hunioni kwenye power nenda katafute better screen
sina couple chains on my neck, put that cash on my deck
blow it up, for ya better own sake, ni–a
(chorus) – chozi
(wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali
wote macho kodo
mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali
yaani wote shobo) x2
oh nana, oh nanana nananananana x3
hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatif-x2
(verse 2) – young g
nimeota yesu anachana dunia imebarikiwa
tapeli kauza kitu feki, naye kabambikiwa
nishawasoma nasoma wanachojua
narudi nyuma mi na-score tena hatua kwa hatua, ah
i’m so busy busy ka biggy na dvb
mgongoni duffle bag ka brands za weezy-wee
nadunda kavu mdomoni mwa nicco-noma
hii mistari na michano shuleni wenzako wanaisoma
(i’m self made, you just affiliated
nachana sana mpaka naona kama vipi mbele
yap yap, flow ziko hardcore, young g*nius, a.k.a the animal,) x2
(chorus) – chozi
(wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali
wote macho kodo
mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali
yaani wote shobo) x2
oh nana, oh nanana nananananana x3
hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatifu x2
(verse 3) – hood c
mood, inapanda mfano wa simu
takwimu zinanijaa nitoe kilicho adimu
nasafisha mtaa, uwe poa
naung’arisha kwa kuweka mataa nifute doa
kila nnapofika nashika naacha baraka
na hivi nnavyosikika uhakika naondoa shaka
mpaka uliyeketi nakupa cheti original
na yako ticket u-seti utajiri cash you know
kaa hapa kwingine utadanganyika
maana kila vocal ni tamu nikipachika
sitaki nyodo kwa kuwa sijakamilika
na sivai modo nikakosa kuheshimika
dunia hadaa aah ulimwengu shujaa, wanasema
hood c nabii niliye mwema
kisa ninawapatia kusipo mategemeo
jamaa toka lunduno na mfumo wa vichocheo
(chorus) – chozi
(wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali
wote macho kodo
mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali
yaani wote shobo) x2
oh nana, oh nanana nananananana x3
hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatifu x2
(outro) – young g
yeah, iite g-mix, noma records, hood c, young g*nius, chozi sebuyu, nicco, salmin swaggz, iite g-mix original, noma records baby, kalulete, aah one nation, one love
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kerstin ott - das kleine glück
- lirik lagu miami weisz & edgar wasser - sinn_des_lebens.zip
- lirik lagu alberto barros - que bello
- lirik lagu massage music - massage
- lirik lagu apes of the state - better off
- lirik lagu slaughterhouse - sucka mc's
- lirik lagu spido - tu as kelle tete?
- lirik lagu annette moreno - corazon lunatico
- lirik lagu judee sill - the pearl - remastered
- lirik lagu courteeners - van der graaff - live at castlefield bowl