lirik lagu sailors - queen b
[intro: qoqosjuma]
noma sana! sailors gang 107!
eeeh! piga hiyo ngoma, cheza hiyo ngoma maaan!
oya dj! cheza hii ngoma maaan! eeeeh! 107!
[chorus: miracle baby]
ni sailors… ki-riddim hivi ai! (hahahah! wu!)
we aka kadem kako fiti kukula ndo nimebakisha
umbo fixed ya kulika weka kando
malkia nyuki malkia nyuki malkia nyuki
yaani queen bee machinneeee
kako na queen bee sema queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kamebeba steki bigi ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kakiinama ziachane ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
na ikizidi iume nguo ni ka queen bee machine (huuu! queen bee machine!
umbo la nyuki yaani yaani yaani queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aah queen bee machine sema queen bee machine (huuuuu queen bee machine)
nasema queen queen queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aaaah queen queen queen bee machine
[verse 1: shalkido]
kako na queen bee machine ikus pogna matin
basi nipe hio ikus sitambui ka ina tint
geuza diaba nikunyuke basi leo utatii
ka ni ngotha wacha kwako we come na kamisi
nikithani roady narrow kustukia ni mtaro
mi si fresha kwa mastingo nitakushika ki-wheelbarow
na ukianza ati kuwika nitak-mwagia hadi etha
nikugurumishe shimolo utathani mi hucheza pernol[?]
[chorus: miracle baby]
we aka kadem kako fiti kukula ndo nimebakisha
umbo fixed ya kulika weka kando
malkia nyuki malkia nyuki malkia nyuki
yaani queen bee machinneeee
kako na queen bee sema queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kamebeba steki bigi ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kakiinama ziachane ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
na ikizidi iume nguo ni ka queen bee machine (huuu! queen bee machine!
umbo la nyuki yaani yaani yaani queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aah queen bee machine sema queen bee machine (huuuuu queen bee machine)
nasema queen queen queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aaaah queen queen queen bee machine
[verse 2: lexxy yung]
mi ni machine kwanza izo sides za pumpin
pumpin pumpin niko pumpin
back up kwanza weka thutha parkin
booty so juicy got mafisi wantin
kwa ii game tucheza ki-masaku
chezwa rough n-gg- ukilete udaku
tokwa mrosho ulilie tu kwa bafu
nishamkeba nampiga bafu chafu
[chorus: miracle baby]
we aka kadem kako fiti kukula ndo nimebakisha
umbo fixed ya kulika weka kando
malkia nyuki malkia nyuki malkia nyuki
yaani queen bee machinneeee
kako na queen bee sema queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kamebeba steki bigi ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kakiinama ziachane ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
na ikizidi iume nguo ni ka queen bee machine (huuu! queen bee machine!
umbo la nyuki yaani yaani yaani queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aah queen bee machine sema queen bee machine (huuuuu queen bee machine)
nasema queen queen queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aaaah queen queen queen bee machine
[verse 3: masilver]
touch tu ni mbili najua utatosheka
zikubebe ujipate umejibeba
kujibeba si ni kweli unatesa
umeweza
kuna venye umejiweka
umejibeba
kuna venye unanicheki
siwezi lenga
pia me nishalikey
hiyo looku
kuna venye naitaka hiyo kitu… kitu… kitu
[chorus: miracle baby]
we aka kadem kako fiti kukula ndo nimebakisha
umbo fixed ya kulika weka kando
malkia nyuki malkia nyuki malkia nyuki
yaani queen bee machinneeee
kako na queen bee sema queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kamebeba steki bigi ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
kakiinama ziachane ni ka queen bee machinee (huuu! queen bee machine!)
na ikizidi iume nguo ni ka queen bee machine (huuu! queen bee machine!
umbo la nyuki yaani yaani yaani queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aah queen bee machine sema queen bee machine (huuuuu queen bee machine)
nasema queen queen queen bee machine (huuu! queen bee machine!)
aaaah queen queen queen bee machine
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu unemployed youth - queen of nothing
- lirik lagu around the deep - watch me burn
- lirik lagu ppg casper - yaye
- lirik lagu nine pound shadow - bright like gold
- lirik lagu nik tendo & decky - 199x
- lirik lagu buddhå lefløre. - do no promising
- lirik lagu devin malek - switch up
- lirik lagu elva hsiao - 蕭亞軒 艷遇 (beauty encounter)
- lirik lagu ex-otago - stai tranquillo (lvnar remix)
- lirik lagu screwtooth luci - earthquake from sparkle