lirik lagu sailors - jesu ni mwathani
[intro: cocos juma]
uuuuh uuuuhh…
matwikire thathi
jesus christ
(mavo on the beat)
[pre-chorus: miracle baby]
saitani ah wee
achana na life yangu gathee
nishajua god ndio fathee
kila mtu mi huita bazeng
[chorus: miracle baby]
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
bila ye life ni fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
[verse 1]
toka mashinani amenitoa magizani
mathena mathena nimeishi mashidani
sosho akanilea na mashida mingi flani
nakugoja idhaa yako tuliishi kanisani
ka ni ka mob justice nimeuma
vijanaa kuchomwa jo hii huuma
jesus wept, aminia gathee kiufogothare
sema amen ifanyike kifogothare
blessings zimwagike kiunathare
msitulie tuchachishe
[pre-chorus]
jesu ni mwathani (reke ngutavye)
na ni mwathani (ngutavye)
jesu ni mwathani (ngutavye)
na ni mwathani(ngutavye)
[chorus: miracle baby]
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
bila ye life ni fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
[verse 2]
god umenitoa place flani
then umenishikilia toka mbali
ka ni chuom mguu tupu kama punda
kijijini watu we walibonga
na wazazi walikuwa wamehunyoka
na masiz waliishi kwa wakunga
wengi wao wakidai kunivuruga
nawaomba wanasema nina pupa
sasa cheki blessings zinajaa ifufa
umenibless wanasema gai fafa
[chorus: miracle baby]
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
bila ye life ni fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
[verse 3]
hohe-hahe nimetoka hohe
dem days ata sikuwa na ngohe
ungenipata tu baze nimebohe
bila sure bet ati nita juahe
pumzika sijakam kuwaombea
kunizika kadhani nitaozea
blessika nashukuru mi namea
kismat juu shosh huniombea
bila ye ningekuwa nateketea
injili singekuwa nanyenyekea
[pre-chorus: miracle baby]
saitani ah wee
achana na life yangu gathee
nishajua god ndio fathee
kila mtu mi huita bazeng
[chorus: miracle baby]
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
bila ye life ni fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
fogothare, fogothare, fogothare
fogothare, fogothare, fogo!
jesu ni mwathani (amen)
ni mwathani (amen)
jesu ni mwathani, ni mwathani, ni mwathani (amen)
[outro]
rejoice in the lord always and again i say rejoice
rejoice in the lord always and again i say rejoice
rejoice!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu putrid pile - god of degradation
- lirik lagu zuno mattia - graffi
- lirik lagu bruford - age of information
- lirik lagu l.l.d feat. pani - la crisis me entrena
- lirik lagu serge gainsbourg - chez les yé-yé
- lirik lagu therapie taxi - disco lady
- lirik lagu gregorian - faded
- lirik lagu jamie-rose - jet lagged
- lirik lagu house lindley, the legendary traxster & tia london - muddy
- lirik lagu stephen stills - helplessly hoping