
lirik lagu sadim mavoice - for love
lyrics
tulipotoka pametukoma
mpaka leo tupo hapa we never go down yeah
we just go and make harder
nakama haujui trust me dunia itakushangaza
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
niache nikope mimi
niogope nini mimi
wakati sina mimi walikaa mbali
siteseki mimi
naishi navyopenda mimi
wanashangaa kwanini sina kitu ila niko na looovee
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu joelle c - seigneur
- lirik lagu john kastner - can't get outta my own
- lirik lagu shirugoth - naked asf (euphoria)
- lirik lagu sgro - daydream
- lirik lagu slout - what they know bout (me 2)
- lirik lagu zell - line
- lirik lagu hannah hodges - pillars
- lirik lagu mats ronander - juncture
- lirik lagu tonciu - nie umrę w samotności, tylko z samotnością
- lirik lagu spaceghostpurrp - goth bloods / goth piru