lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sacred heart parish dagoretti youth choir - nikushukuruje

Loading...

nikushukuruuje
mungu w~ngu, mungu w~ngu
nashangazwa na mema
yako bwana juu yangu
najiuliza nikushukuruje (mimi)
wimbo gani niimbe mimi kama shukarni
asante, asante mungu
asante, asante (bwana)
kutoka moyoni mw~ngu
nasema asante

nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu
nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu

siku zote, nitakuimbia
nyimbo nzuri tena
katika kusanyiko kubwa
nitalitaja jina lako mungu
milele yote mimi nitakuimbia

nikiziangalia kazi ya mikono yako
vyote ulivyo viumba kweli vinashangaza
nashukuru kwa kuniumba hivi nilivyo
nashukuru sana mungu mimi
nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu
nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu

siku zote, nitakuimbia
nyimbo nzuri tena
katika kusanyiko kubwa
nitalitaja jina lako mungu
milele yote mimi nitakuimbia

tazama umenijalia afya njema
na sauti nzuri umenipa nikuimbie
siku zote za maisha yangu bwana w~ngu
kweli nitakuimbia mimi

nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zotе nitakuimbia mungu
nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu

siku zotе, nitakuimbia
nyimbo nzuri tena
katika kusanyiko kubwa
nitalitaja jina lako mungu
milele yote mimi nitakuimbia
sioni kitu chochote kitakacho nitenga
nitenga na upendo wako usiopimika
nij~popita katika changamoto mingi
ndiwe tegemeo langu mimi

nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu
nitaimba do~mi~so~fa~mi~re
so~mi~fa~re~do
siku zote nitakuimbia mungu

siku zote, nitakuimbia
nyimbo nzuri tena
katika kusanyiko kubwa
nitalitaja jina lako mungu
milele yote mimi nitakuimbia


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...