lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sabaha salum - aso mtu ana mungu

Loading...

sivai kwa nguvu kinachokuuma ni niniiii
wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii
sivai kwa nguvu kinachokuuma ni niniiii
wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii

mimi mimi sikitaki chako
masimango masimango ni ya niniiii
mimi mimi sikitaki chako
masimango masimango ni ya niniiii
pumua kwenye safu yako aso mtu hana mungu
pumua kwenye safu yako aso mtu hana mungu
pumua kwenye safu yako aso mtu hana mungu
pumua kwenye safu yako aso mtu hana mungu

usininange..usininange mlimwengu
mwana wa mwenzio usinitie mdomoni
usininange..usininange mlimwengu
mwana wa mwenzio usinitie mdomoni
riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo
mtoaji ni maanani..mtoaji ni maananiii
riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo
mtoaji ni maanani..mtoaji ni maananiii
mimi namegewa changu walijuwa hilo
cha mtu cha kazi gani..kazi gani
mimi namegewa changu walijuwa hilo
cha mtu cha kazi gani..kazi gani
wak~mi kapewa k~mi wamoja usihangaike
wak~mi kapewa k~mi wamoja usihangaike

wak~mi kapewa k~mi wamoja usihangaike
wak~mi kapewa k~mi wamoja usihangaike

aso mtu hana mungu hayo ni kweli
kiiherehere cha nini……
aso mtu ana mungu hayo ni kweli
kiiherehere cha nini……

aso mtu hana hana mungu
mbio usimuendee
chuki katu na majungu na majungu
yatakurudi mwenyewe
hazivunji ngome alizozijenga manani
nauseme useme sikujibu asilaniii
hazivunji ngome alioijenga manani
nauseme useme sikujibu asilaniii
lilililalalaaah
ulizani nitateseka msaada kunikhini
ukawa unanicheka vicheko vya batwaani
oohhhh
ulizani nitateseka msaada kunikhini
ukawa unanicheka vicheko vya batwaani
mola amenik~mbuka chema kesha niauni
shida imeniondoka leo unaona soo nini
mola amenik~mbuka chema kesha niauni
shida imeniondoka leo unaona soo nini
shufaa ni ya rabbana anetowa na kutwaa
shufaa ni ya rabbana anetowa na kutwaa
shufaa ni ya rabbana anetowa na kutwaa
shufaa ni ya rabbana anetowa na kutwaa

kila jambo kwa muumba mja una kitu gani
ndie ninae muomba moyo ukatumainiii
ooohhhh
kila jambo kwa muumba mja una kitu gani
ndie ninae muomba moyo ukatumainiiiii
wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni
si mimi utonitimba hiyo yote mitihani
oohhhh
wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni
si mimi utonitimba hiyo yote mitihani
mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
alokupa~alokupa kiti wewe cha kukalia
k~mbi akanipa mimi
alokupa~alokupa kiti wewe cha kukalia
k~mbi akanipa mimi
ni mungu si mwengiine wee
usijitie tafrani
na kunitoa thamani na kunitoa thamaani
ni mungu si mwengiine wee
usijitie tafrani
na kunitoa thamani na kunitoa thamaani
kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini
huumk~mbuki manani mananiiii
kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini
huumk~mbuki manani mananiiii
chuki ziondoe kw~ngu yatizame yaliyo yakoo
chuki ziondoe kw~ngu yatizame yaliyo yakoo
ooooohhhh
chuki ziondoe kw~ngu yatizame yaliyo yakoo
chuki ziondoe kw~ngu yatizame yaliyo yakoo
huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani
ndio imeshaaandikaaa
ooooohhhh
huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani
ndio imeshaaandikaaa

aso mtu hana mungu hana mungu
mbio usimuendee
chuki katu na majungu na majungu
yatakurudi mwenyewe
hazivunji ngome alizozijenga manani
nauseme useme sikujibu asilaniii
hazivunji ngome alioijenga manani
nauseme useme sikujibu asilaniii


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...