lirik lagu sabah salum - si mzizi si hirizi
amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe
anayotaka apewe
amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe
anayotaka apewe
tena kwa ule ujuzi kw~ngu mimi ni utoe
tena kwa ule ujuzi kw~ngu mim ni utoe
tena kwa ule ujuzi,w~ngu mim ni utoe
tena kwa ule ujuzi,w~ngu mim ni utoe
kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyewe
kapenda yeye mwenyewe
kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyеwe
kapenda yeyе mwenyewe
kapenda si kwa miziz,sik~mroga mjue
kapenda si kwa mizizi,sik~mroga mjue
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe
atakavyo afanyiwe
ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe
atakavyo afanyiwe
nami yake matumizi,najua niyatumie
nami yake matumizi,najua niyatumie
nami yake matumizi,najua niyatumie
nami yake matumizi,najua niyatumie
namtatua tatizi hamtaki mwenginewe
namtatua taizi hamtaki mwenginewe
hamtaki mwenginewe
namtatua taizi hamtaki mwenginewe
hamtaki mwenginewe
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
kapenda si kwa miziz,sik~mroga mjue
kapenda si kwa mizizi,sik~mroga mjue
nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
nae amevunja kazi,kw~ngu nani amtoe
kw~ngu nani amtoe
nae amevunja kazi,kw~ngu nani amtoe
kw~ngu nani amtoe
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe
huba zake na moyowe
amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe
huba zake na moyowe
namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
ninampa bumbuwazi,lazima kw~ngu apowe
lazima kw~ngu apowe
ninampa bumbuwazi,lazima kw~ngu apowe
lazima kw~ngu apowe
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi nimapenzi tu
usione ameganda kw~ngu mie
si mzizi si hirizi ni mapenzi tu
nimapenzi tu,nimapenzi tu
nimapenzi tu,nimapenzi tu
nimapenzi tu,nimapenzi tu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu malty 2bz - train de vie
- lirik lagu allame - yaz baştan
- lirik lagu soraxxel - äs nödt
- lirik lagu lildje - menteur
- lirik lagu suhel - emerging
- lirik lagu 404hxllxw - angel (freestyle)
- lirik lagu tvbuu - say my name
- lirik lagu mc ph - noite passada
- lirik lagu ユリイ・カノン (yurry canon) - カルディア (kardia)
- lirik lagu samiarwastaken - pick & choose