lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sabah salum - fumbo mfumbie mjinga

Loading...

#chorus
fumbo mfumbie mjinga
mwerevu! mwerevu hutambua
fumbo mfumbie mjinga
mwerevu! mwerevu hutambua

#verse
wanifumbia mafumbo
ukiniona huna raha
wanifumbia mafumbo
ukiniona huna raha

#verse
watamani kuniua, kuniua!
watamani kuniua, kuniua!

#verse
je, nimekuibia mumeo? sema! sema!
je, nimekuazima nguo? sema! sema!
je, nimekuomba chakula? sema! sema!
je, nimekuazima mapambo? sema! sema!

#verse
bibie, unikome!
unikome! nakuambia, unikome!
bibie, unikome!
unikome! nakuambia, unikome!
#instrumental
#verse
wachemshe hao hao, wachemshe hao hao
wachemshe hao hao kw~ngu mimi utapoa!
majungu hapo ndiyo kwao
majungu hapo ndiyo kwao
majungu hapo ndiyo kwao
hasidi usiyojijua

#verse
wachemshe hao hao, wachemshe hao hao
wachemshe hao hao kw~ngu mimi utapoa!
majungu hapo ndiyo kwao
majungu hapo ndiyo kwao
majungu hapo ndiyo kwao
hasidi usiyojijua

#verse
mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
bibi, wacha ushambenga
losh! mzushi wewe
professor wa kuzua
losh! mzushi wewe
professor wa kuzua
#verse
si hayo tu, na mengine mtazusha
ya fitina na majungu, kw~ngu utagonga mwamba
si hayo tu, na mengine mtazusha
ya fitina na majungu, kw~ngu utagonga mwamba
usinitafute undani, ya kwako yamekushinda
ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
usinitafute undani, ya kwako yamekushinda
ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
#instrumental

#verse
usinizeeshe mwenzio, usinizeeshe mwenzio
usinizeeshe mwenzio, midomoni kunitia
sitembei na mumeo, sitembei na mumeo
sitembei na mumeo, ndereje kunichukia
usinizeeshe mwenzio, usinizeeshe mwenzio
usinizeeshe mwenzio, midomoni kunitia
sitembei na mumeo, sitembei na mumeo
sitembei na mumeo, ndereje kunichukia
#verse
mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
#verse
nitue mwana mwenzio
losh! mzushi wewe
professor wa kuzua
losh! mzushi wewe
professor wa kuzua

#verse
si hayo na mengi utayasema
ya umbea na fisadi, kw~ngu utagonga mwamba
si hayo na mengi utayasema
ya umbea na fisadi, kw~ngu utagonga mwamba
uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini?
uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini?
ahh mafumbo yako nini shangingi ushaishiwaa
mafumbo yako nini shangingi ushaishiwaa
#instrumental

#verse
sitaki! sitaki maneno na wewe!
sitaki! sitaki kukaliwa mwao
sitaki! sitaki maneno na wewe!
sitaki! sitaki kukaliwa mwao
wewe unawako, na mie nina w~ngu
maneno ya nini?
wewe unawako, na mie nina w~ngu
maneno ya nini?
sitaki mafumbo kunifumbia mwenzio
sitaki mafumbo kunifumbia mwenzio

#verse
wewe una nyimbo, mwenzio nina mambo
rusha roho za nini?
wewe una nyimbo, mwenzio nina mambo
rusha roho za nini?

#verse
ukome ukware, kuharibu hadhi yangu!
ukome ukware, kuharibu hadhi yangu!
bure kiherehere, hutakiwi kif~gio
kimuhe~muhe cha nini?
bure kiherehere, hutakiwi kif~gio
kimuhe~muhe cha nini?


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...