lirik lagu rusty - mr. policeman
intro
rusty
featuring
squad safi
sounland production
chorus
mr. policeman, afande
usinishike juu nimebeba kipande
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
mimi ni artiste, wa gilo
naimba bila kuvuruga amani
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
mimi sio jambazi
verse 1
polisi wakijaribu kutushika hatushikiki
wakijaribu kututisha hatutishiki
kwenye rodi tunapitapita
si ma hustler hatubabaiki
wanasema mi ni mungiki
juu niko na nywele bigi
wanasema nimebeba bangi
nasijatoka kariobangi
hizi kashfa w-n-leta leta
kwenye tele tunateta teta
hawajui mimi ni artiste
toka kwenye mitaa ya kati
na hustle game yangu ni dirty
polisi hawani pati pati
leo afande hakuna hongo
afadhali mi nilale ndani
verse 2
mr. policeman
kwani ni aje jo!
nikitoka mitaani, wanihanda doh
hii story hainibambi juu isha ni bore
eti nimetoka wapi hepi carnivore
anadai niwache ata ka ni soo
story ya kutoa kidogo nilisema no
rusty na bado tunawapa more
risky niko undercover jo
kupoteza kipande imekuwa blunder jo
ah, imekuwa blunder jo
kupoteza kipande imekuwa blunder jo
risky, yeah
verse 3
ma youth wanahandwa ovyo ovyo
wanapigwa, hawapewi onyo
polisi wakitafuta hongo
wanasema hatuna ubongo
tukiteta si ni waongo
kashfa mob kama githongo
kulia si hatutaki
kuumizwa si hatutaki
kuumizwa si hatutaki
kushikwa si hatutaki
bridge
mr. policeman
o ooh
mr. policeman
no ooo
mr. policeman
o ooh
mr. policeman
no ooo x2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu thunderstone - tin star man
- lirik lagu rusty - fire burnin
- lirik lagu david cassidy - it's one of those nights (yes love)
- lirik lagu david cassidy - i'll never stop loving you
- lirik lagu saline grace - mercy and deliverance
- lirik lagu david cassidy - like father, like son
- lirik lagu rusty - emma
- lirik lagu thunderstone - let the demons free
- lirik lagu thunderstone - forth into the black
- lirik lagu thunderstone - break the emotions