lirik lagu rusty - maisha yamenipoza
intro
rusty
featuring twisty
na generali
sound land records
maisha yamenipoza jo!
nimeamua ku chill
au sio jo! au sio,
yeah.
chorus
maisha yamenipoza
kweli ninabaki mi nawaza
virusi vya ukimwi kunipata
naona kama mimi ntajimada, aah!
ewe mola nisamehe
watu wote sasa wanihepa
mimi leo nimebaki pekee yangu
nashindwa nitaishi ama kufa, aah!
verse 1
nimeishi siku nyingi bila kuipata dhiki
leo niko hapa mi mwenzako nasadiki
nimekula raha siku nyingi zaidi ya wiki
bila kujua siku moja nitakosa tiki
mpenzi w-ngu ameaga naye jina lake vicky
majirani wanitenga kuniongezea dhiki
nilidhani wazuri k-mbe hao wanafiki
walianza matusi kuharibu urafiki
ghafla ikawa sipati hata riziki
maisha ni magumu sifanyi tena mziki
ningekuwa na mali ningenunua suzuki
niende nayo mbali nikafie uturuki
kwa jamii bila pesa ni kama sikubaliki
nikisema chochote ni kama siaminiki
kilio nalia lakini hakisikiki
nawasihi muombe na mola awabariki
verse 2
yeah, hiv haina cure
lakini yaweza preventiwa
ni juu yetu sote
ikiwa uko pure
mimi hapa najaribu kutafuta cure
huku niki preventiwa, na hali ilivyo
wengi wameaga, wengine mayatima
ikiwa unataka kuwa kioo cha jamii
lazima uwe nami tukisuluhisha jambo hili
najua hiv haina cure
lakini yaweza preventiwa
mradi uwe mwaminifu
wapenzi watukufu
ni wale watembeao
katika njia za haki
mabeshte wacheni taki
upendo, wa dhati
huja tu kwa marafiki
date za kisirisiri
siku moja ama mbili
utajikuta kwa kaburi
kufungua, kituo
ni kipindi cha penzi hatari
hatakama una mali
hiv haitambui
verse 3
i say don’t be afraid hata ka una stress
something normal tume come ku address
make sure you’re busy every time una stress
ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice
just ikiwa tough utter word to the lord aku bless
wasee nawa show si poa kuji stress
nataka mnielewe
ukweli si uwongo
niwaelezayo inatoka kwenye moyo
machali wana go
mambuyu wana go
wamasa wana go
na mamanzi wana go
watu wengi wana go
yeah, yeah yeah
don’t be afraid ata ka una stress
something normal tume come ku address
make sure you’re busy every time una stress
ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu chris isaak - back on your side
- lirik lagu thy majestie - incipit bellum
- lirik lagu thy majestie - anger of fate
- lirik lagu david bowie - young americans
- lirik lagu david bustamante - bang bang
- lirik lagu bright eyes - take it easy
- lirik lagu david bustamante - cantabria
- lirik lagu thurston moore - female cop
- lirik lagu david bustamante - colgado
- lirik lagu david bustamante - duda de amor