lirik lagu rusty - emma
intro
yeah…big unit-genge mufti
2008
dedication to emma
alters records
yeah…twende
aha…shasha mo na rusty
chorus
mpenzi w-ngu emma
mi nakupenda nasema…
macho yako yamenivutia…
mashallah! (mashallah! )
why lie! (why lie) x3
verse 1
mpenzi w-ngu emma
ni kweli mi nasema
mi bado nakupenda
hata watu wakinena
siwezi kukutema
ninakuwazia mema
kwa siku zangu zote
bado mema nitatenda
naapa mpenzi
sitoweza kukutenga
wengi walisema
siwezi kukupata
story nikakata
nisije kukuhata
nafanya uradi fasta
niweze kuwa nawe
ukidrill kwenye highway
na feel kuwa nawe
yeah…na feel kuwa nawe
verse 2
nakupa tabasamu mikono nakurushia
maisha ni machungu na raha kukimbilia
big unit tunasema, huwezi tukimbia
popote utaenda sisi tutakufikia
najua uko poa mrembo wakubugia
mara ninapolala ni wewe nafikiria
aaah, ni msanii kwa sanaa
ni kweli ninasema kunihepa ni balaa
unabaki umeshangaa
ndio maana tunasema
hivi na vile vile
kutoka siku ile
jd naitwa hero
kutoka hapa gilo
pretty emma
mi sikupi vitisho
nakupa langu himizo
na hope sio tatizo
ndio life siku hizo
hivo jinsi ilivyo
ya kweli kutimiza
j-po swali we uliza
yeah…j-po swali we uliza
verse 3
na saa ukinijia
masaa yatimia
wazo langu tulia
yote mengi ya dunia
sahau yalopita
mateso kadri vita
na mi nakuita
ukweli sitoficha
banyes twist guitar
ushow zote features
mziki utani…
fikisha mbali sana
na hope ndio future
manake sio nature
manake tunawika tukidai every time
pretty emma
i love you so much
baby, i love you so much
outro
big up mafans wote wa gilo
skug unit
squad safi
madedix
tuko pamoja tu yaani…
au sio!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu thy majestie - the sight of telham hill
- lirik lagu thy majestie - the scream of taillefer
- lirik lagu david bowie - we shall go to town
- lirik lagu chris isaak - back on your side
- lirik lagu thy majestie - incipit bellum
- lirik lagu thy majestie - anger of fate
- lirik lagu david bowie - young americans
- lirik lagu david bustamante - bang bang
- lirik lagu bright eyes - take it easy
- lirik lagu david bustamante - cantabria