lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rostam (tz) - kaolewa

Loading...

it’s rostam baby…

kaolewa eeh
na nani kaolewa
wanasema haolewi kaolewa
hee
makubwa mbona pambee
huyuhuyu mwajuma nchokonowe

aaah mwajuma gani
yule mtoto wa mkunga
asiye vaa za dukani ye kutwa nguo za mtumba
bwana bwana bwana
tayari kapata mchumba
yani huku k~medamshi njoo tufinye mpunga
siwalisema yule mgumba eti kizazi hana
mtaani kicheche sana imekuaje kapata bwana
mmhh
ndoa bwana kama utani mwana
unaminyaminya nyanya unanunua biringanya

siwanasema sigara nyota
nawasha mbele na nyuma
mwana gani huyo goroka
sibora angemuoa muna
muna gan yule baba willi
acha utani tukeshe mpaka alfajiri
mwajuma kaolewa (eeeje na nani)
kaolewa, wanasema haolewi kaolewa
mak~mbwa mbona pambe
huyu huyu mwajuma nchokonowe
anamelemeta, anamelemeta
anamelemeta, anamеlemeta

mawifi naona wanacheza namshеnga
siwalisema haolewi
leo wametuliza ngenga
walemaex walompiga chenga
wanaona wivu mwajuma anapigwa denda
mbona wanaosema ana gundu
ndo hao w~n~lishwa keki
na walosema haolewi
ndo wana maliza kleti
wasonakadi ndo wameingia bila wito
simlimchamba biharusi mbona mnacheza kwaito
kampakampa tena uponyonyo (nipo titi)
najua hujachanga usiogope (cheza mziki)
mwajuma anakata mauno anaonekana fundi
saitakuaje tumuulize ngungi

mwajuma kaolewa (eeeh kaolewa)
kaolewa wanasema nimgumba kaolewa ( eeh na nani)
ham ham ham ham kaolewa (toba)
anamelemeta, anamelemeta
anamelemeta, anamelemeta

simwamini mwajuma hata kama leo kaolewa
nampa wiki tatu tu talaka lazima atapewa
we unawivu au umetumwa
au ulimtaka akakataa
minampa miaka mia nane atadumu na utashangaa
we mgeni hapa kitaa usibishe niskize mimi
wacha mwajay apate raha
kasha dang asana mjini
olivunja ndoa ya baba sembuse huyo kapuku
tufinye cha mtume hayo mengine haya tuhusu
anameremetaa…
eeeh hiii ni nyingine tena
hmm ni rostam tena
musa babaz wa babaz

let’s take over the game


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...