lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rose muhando - sitanyamaza

Loading...

eeeehhhh
mimi mungu
kwa tiro nitalia, kwa sinoni nitaomboleza
sodoma nitanung’unika, mipakani nitashambulia
mijini wameniacha, kila kona nitashambulia
maisha ya wanadamu, yamenichosha
oh oh mimi
sitanyamaza, wala sitanyamaza
lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
maovu yenu nyinyi, pamoja na baba zenu
nasema nitalipa dunia ijue mimi ni bwana
mmef~kiza uvumba, (mmenitukana nyie) na kunitukana
kwa ajili ya haya mtajutia vizazi vyenu

mmefanya uzinzi katikati ya milima
usiku wa manane mmefanya ukahaba
kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano
kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo

mmefanya uzinzi katikati ya milima
usiku wa manane mmefanya ukahaba
kwenye njia kuu na vichochoro (hamniogopi mimi) mmefanya mapatano
kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo

ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
(kila mwanamme) kila kijana aliyepita (aliyepita mbele yako wewe)ulimwona anafaa
awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
kila kijana (kila kijana) aliyepita ( jamani) ulimwona anafaa
awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda

wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda( inasikitisha)
wako wapi mahеndisamu mbona sasa unakonda
wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda
wako wapi mahendisamu mbona sasa unakonda

miji mizuri imekuwa ukiwa
majumba mazuri yamеfungwa kabisa
wana wa wana wamebaki yatima
kiburi cha moabu kimekoma kabisa

miji mizuri imekuwa ukiwa
majumba mazuri yamefungwa kabisa
wana wa wana wamebaki yatima
kiburi cha moabu kimekoma kabisa

hebu sasa piga kelele uliye kahaba
shika kinubi omboleza upate kuk~mbukwa

hebu sasa piga kelele uliye kahaba
shika kinubi omboleza upate kuk~mbukwa

nirudieni mimi niwasamehe, nasema geukeni sasa niwaponye (5x interchangeably)
njooni kw~ngu mzungukao na wenye kulemewa na mizigo mizito yenu oh

chukueni nira yangu, nira yangu ni laini
mzigo w~ngu ni mwepesi mwepesi

haiyayayaya

mimi bwana ni mpole, mnyenyekevu wa moyo

instrumental

lakini bwana asema hivi, nitawaponya
yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
mimi ni alfa na omega ayoyoyo, mwanzo na mwisho
jamani mimi ni mungu, mwingine hapana

lakini bwana asema hivi, nitawaponya
yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
mimi ni alfa na omega ayoyoyo, mwanzo na mwisho
jamani mimi ni mungu, mwingine hapana

ehehehe

nirudieni mimi niwasamehe, nasema geukeni sasa niwaponye 7x (interchangeably)

nirudieni makahaba nirudieni na waongo eh nasema
mimi mungu niponyae tena mimi naokoa oh nasema

chukueni nira yangu nira yangu ni laini mzigo w~ngu ni mwepesi (mwepesi)

haiyayayayah

chukueni nira yangu nira yangu ni laini mzigo w~ngu ni mwepesi (mwepesi)

mwisho


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...