lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rose muhando - facebook

Loading...

huyu anae kuja sasa ajiunge nasi
ni malikiya wa muziki tanzania na afican
si wengine bali ni rose muhando

facebook facebook, twitter amekuwa mungu wa kanisa la leo
facebook facebook twitter amekuwa akimu wa kanina la leo
facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo
facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo

eh eh~h~h~h~h~h, eh~h~h
yo yo yo jamani
eh iye ye yi uzuni, oh oh uh oh machozi

kuna balaa kubwa nililoliona mimi chini ya jua
kuna balaa kubwa nililoliona chini ya jua
kuna balaa jipia limeshuka jamani chini ya jua
eti, facebook wamekuwa mungu kwa kanisa la leo,ni ajabu sana
twitter amekuwa akimu kwa kanisa la leo ni ajabu sana
ajabu sana, ajabu sana, ajabu sana, ajabu sana
angalia sasa wewe mwana, kanisa lako li katika hali mbaya
watu wako wamekuwa mateka hawajui pa kwenda ni kama upepo
wakiristo wamekuwa wajinga hawajui nyakati za kujiliwa kwao
wachungaji wamekosa ekima kutowa maamzi ya matatizo yao
eti facebook facebook, twitter amekuwa mungu kwa kanisa la leo
facebook facebook twitter amekuwa akimu wa matatizo yao
facebook facebook twitter amekuwa mungu kwa kanisa la leo

hivi nani aliyewaloga? (ni utanda wasi)
aibu? (ni utanda wasi)
nasema nani aliyewaloga? (ni utanda wasi)
amani (utanda wasi)
wameacha majuk~mu (eti, wanachat)
jamani (eti wanachat)
wameacha k~mtafuta mungu, (kisha wanachat)
ahibu, (eti wanachat)
wana sahau kufanya maombi (kisha wachat)
jamani (eti wanachat)
hakika wana tiya ayibu (eti wanachat)
nasema (eti wanachat)
wame acha k~mtafuta mungu (kisha wanachat)
jamani (eti wana chat)
wana jiacha kwenye mitandao (kisha wanachat)
ayibu (eti wanachat)
wasitchana wame aribika (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
wanatchelewa kwenye masomo (kisha wanachat)
ayibu (eti wanachat)
wanafunzi wame fail mitihani (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
wanafunzi wana fail mitihani (eti wanachat)
ayibu (eti wanachat)
wafanya kazi watchelewa kazini (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
wadereva wana sababisha ajali (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
ascari ame sababisha ajali (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
oh oh (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
eh eh (kisha wanchat)
jamani (eti wanachat)
ona ndoa nyingi zimesha vunjika (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
wengine wana zua zua (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
mwengine ame tchelewa kazini (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
eh eh (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
africa wame kosa ayibu (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
wana sahau kufanya maombi (kisha wanachat)
tazama (eti wanachat)
wana jiachakwenye mitatandao (eti mwanachat)
jamani (eti wanachat)
ndoa nyingi sasa zimesha vunjika (kisha wanchat)
ayibu (eti wanachat)
wana jiachakwenye mitatandao (kisha mwanachat)
jamani (eti wanachat)
mwengi ametchelewa mungeni (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
wana angaika kutowa odja (kisha wanachat)
ayibu (eti wanachat)
wana sinziya wakiwa mgeni (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)
nasema (kisha wanachat)
ayibu
madakitari wame sababisha vifo (eti wanachat)
jamani (eti wanachat)
wajinga hawa somi neno (kisha wanachat)
mwezangu (eti wanachat)
wana sahahu kufanya maombi (kisha wanachat)
nasema (eti wanchat)
eh~h~h (kisha wanachat)
jamani (eti wanachat)

facebook facebook, twitter amekuwa mungu wa kanisa la leo
facebook facebook twitter amekuwa akimu wa kanina la leo
facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo
facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo

wanadamu wamechanganikiwa hawa juiwi mpa kwenda ni kama upepo
wame kuwa niwendawazimu vichawi wame logua na utandawazi
wana ndoa wame changanyikiwa wana andika ayibu ya mambo yaho ya ndani
kweli facebook facebook, twitter amekuwa mungu wa kanisa la leo
k~mbe facebook facebook, twitter amekuwa ayibu ya matatizo yaho

hivi nani aliyewaloga? (ni utanda wasi)
aibu? (ni utanda wasi)
nasema nani aliyewaloga? (ni utanda wasi)
amani? (utanda wasi)
ata wale wameacha majuk~mu (eti wanachat)

facebook facebook, twitter amekuwa mungu wa kanisa la leo
facebook facebook twitter amekuwa akimu wa kanina la leo
facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo
facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo
wasa wasa (don′t com) wasa
wasa wasa (kizazi tcha nyoka don’t com) wasa (eti kizazi tcha don′t com)
wasa wasa wasa
wasa wasa wasa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...