lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu romi swahili - right here

Loading...

right here
(samples)
ulitoka kwa dust, umerudi kwa dust
uko at a better place, another stage
a higher force iku~guide, past your grave
rest in peace!

verse 1
ilikuwa early ‘90s umbilical cord ikikutana na wembe
dunia ikanipokelea ka mgeni alikuwa anashuka ndege
after rumours za miscarriage, survivor
daktari ali~confirm, uzito w~ngu ulikuwa above average
adopted na daughter wa pharaoh kwa kikapu cha makonge
polepole nika~learn kutembea na hatua za mzee kobe
curious haswa kujua mbona aliita life “kahaba”
ka life ni kitabu, reality yangu ilikuwa maktaba
baba hakuwa nyumbani kujua growth na vile tuliishi
alitumia pesa nyingi kushinda time ali~spend na sisi
so jua ikiwaka asubuhi na upepo iki~blow kwa miti
ilikuwa just another day ya mama kuenda kututaftia riziki
nak~mbuka love yake mikono iki~drip uchafu kwa labour
kitu ilini~inspire, ni dream nimsaidie mizigo alibeba
mum i hope time ilikuwa enough kusema vile nilikupenda
how i wish sickness yako ingekuwa barua ya “return to sender”
(hook)
do you remember me
(mama, mama, mummy)
i’m just a shadow now
(hauwezi kuwa shadow)
this is where i used to be
(bado uko hapa)
right here beside you
(right here, right here)

verse 2
na~quench thirst yangu kwa trench za fate
kisha nai~wash down the throat na the fact that i hate
the truth that hauko around no more
passport yako close kwa mkono, na memories zako ziko close kwa roho
hiyo last meeting tuli~spend hours talking
kuhusu future, pandashuka za life and other topics
kukuona kwa hospital bed ilinifanya weak kwa magoti
i curse the day daktari alitoka na hiyo medical ripoti
i wish he was joking!
ati uli~collapse kwa msala, kifo ikajaza shajara, dreams zikapoteza colour
forever ukalala, nili~stagger kwa barabara
on my home, mbona ulienda bila hata kuacha parting dictum?
wanani~harass, ati i was your perfect replica
bado naishi dream yetu hata ka sij~pata majibu
emotionally passionate na wekundu wa zabibu
hata ka mi ni last born, nasimama for the homestead
(hook)
do you remember me
(mama, mama, mummy)
i’m just a shadow now
(hauwezi kuwa shadow)
this is where i used to be
(bado uko hapa)
right here beside you
(right here, right here)

verse 3
it’s so silent and forlorn mahali nimeketi
reality ni hard to follow kwa hallway ziko empty
tangu uende, heartbeat ili~shrink kwa baridi
bitterness kwa koo kavu, breath haiezi saturate waridi
memories ni anti~aging kwa hii healing process
though si~count my losses nikicheki tombs na crosses
ni farewell na roses nikichoma incense na mishumaa
paying homage, ni ka kujianda for sabbath, ijumaa
solemn pekee yangu ni vitu voiceless naskiza
thoughts na maombi, scent yako iko sent from jesus
bond yetu ilikuwa tight in reality, life si divisible
nacheki beauty yako all over, presence yako si visible
na~animate life ka mkulima na pen kwa vidole zangu
feeling ka malaika na mabawa broken ever since tangu
hii art ni outcome ya kuangalia dunia through macho yako
body yangu hugeuka sixth sense nikitazama grave yako
(hook)
do you remember me
(mama, mama, mummy)
i’m just a shadow now
(hauwezi kuwa shadow, hauwezi)
this is where i used to be
(bado uko hapa, unaishi ndani yangu)
right here beside you
(right here, right here, kwa roho yangu)

(hook & bridge)
do you remember me
i’m just a shadow now
this is where i used to be
right here beside you

mommy, bratha~ngu johnny, sarah wambui, levo, uncle simba
hawakudedi! walienda ku~claim their rightful jewels kutoka kwa mfalme
wako right here, right here

hii ni yako, ka umepoteza wale walo close kwako
we all stay and live, kuna life mbele yako
hii ni yako, ka umepoteza wale walo close kwako
we all stay and live, kuna life mbele yako
(rest in peace!)
hii ni yako, ka umepoteza wale walo close kwako
we all stay and live, kuna life mbele yako
hii ni yako, ka umepoteza wale walo close kwako
we all stay and live, kuna life mbele yako
d~mn!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...