lirik lagu romi swahili - black hole
black hole
verse 1
niko kwa kibanda ya gomba
thinking vile big g, njugu, karafuu, na soda, fegi, zote zitatoshea kwa budget ya omba
wakogetee waki~bump mizizi na doba
ama better still, k~shaka, mashifta na throwback
nili~break mpaka new year resolution, month ni october
break machupa, break mifupa, break milango na crowbar
pursuit of happiness kwa illusion, i’m barely sober
deals za giza multi, plus armswing zili~sn~tch mikoba
can’t get enough of hii feeling huletwa na ma~puff
straight kwa mapaf’, akili feeling impact ya hii stuff
i mean, mi na we tuko different si
niko kwa different frequency daily and frequently
my harsh reality niliamua kui~switch off intently
mdomo on the run, usishangae words zikikosa decency
i’m that crowd, i’m that strong, i’m that weak
i’m that sick, i’m that guy, i’m that cl!ck
yo!
wristband galore, cancer, na ma~sticks za lighter
life ni battle, nikiwa sober i’m a poor fighter
mi ni mjinga, hii ni njia yangu ya ku~grow wiser
imekuwa long nikiifanya si hii grip ina~grow tighter
so ukidai kunitafta, utanipata kwenye chapter
ukidai kunitafta, utanipata kwenye chapter
ukidai kunitafta, utanipata kwenye chapter
ukidai kunitafta, nipate kwenye black hole
verse 2
mwisho wa mwezi after salary, check kwa checklist tayari
usistaajabu kupatana na wao staggering
wame~wet dungaree, for the moment wana~own sayari
mpaka walking ni tiring, so taxi hiring
ma~bachelor na wako past thirty
a fool and his money are soon kwa party
umewa~encounter wale wenye hu~own counter
za local joint, ma~black~outer
ma~bill shouter, stung na nyuki moja wako out kubomoa mizinga
wakisema life ni spectacle ya mashida
oblivious kujua ni insecurities zao w~n~linda
the more wanatafuta jibu, the more maswali yana~grow bigger
ku~act sober, hii art ni official
puppets kwa illumination artificial
walking inside out ka pipe imeji~swallow
after glasses, niaje bliss hupatikana kwa mitaro
experience is the best teacher, after drunk driving anawafunza na crash program
maybe ndio reason wanampenda
yo!
wristband galore, pills, moshi na hiyo lighter
life ni battle, wakiwa sober ni ma~poor fighter
wao ni wajinga, hiyo ndio njia yao ya ku~grow wiser
imekuwa long wakiifanya si hiyo grip ina~grow tighter
so ukidai kuwatafta, utawapata kwenye chapter
ukidai kuwatafta, utawapata kwenye chapter
ukidai kuwatafta, utawapata kwenye chapter
ukidai kuwatafta, wapate kwenye black hole
ngumu ku~conceive, leave alone kulea watoto
makopo ya pombe ya mkopo yaliwacha blind ka popo
ngumu ku~conceive, leave alone kulea watoto
makopo ya pombe ya mkopo yaliwacha blind ka popo
ngumu ku~conceive, leave alone kulea watoto
makopo ya pombe ya mkopo yaliwacha blind ka popo
ngumu ku~conceive, leave alone kulea watoto
makopo ya pombe ya mkopo yaliwacha blind ka popo
yeah, yeah!
beat ya native
vitex
yeah!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu glenn leroi - pizza song (2020 version)
- lirik lagu jxhhny blest - i'll be okay
- lirik lagu video video - flames
- lirik lagu in this moment - blood 1983
- lirik lagu dewald wasserfall - elektrisiteit
- lirik lagu tonight alive - thank you & goodnight - acoustic version
- lirik lagu wilfred sanderson - up from somerset
- lirik lagu vypee - history
- lirik lagu bridge - one, two
- lirik lagu samuel ramey & plácido domingo - the dubbing