lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu romantico, samaki mkuu, jabali afrika - bila baba

Loading...

ooh
yeah
ooh
yeah, yeah

bila baba, bila baba
uko wapi? uko wapi?
mama hapa, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
bila baba

since nilipokuwa mtoto mdogo
you said if you don’t go, hutaknow
ushauri huo gives me the mojo
to throw things i fear out the window
although ninajua you’ve had to forego
zingine za your own malengo na ndoto
hujamake upendo wako a quid pro quo
but all out love on me you do bestow
when kuna sun, upepo au hata snow
kila mahali i go, always up you would show
to mould me into a pro, making more than dough
nakuthank for the know~how unanishow
tunaposail through the archipelago
au kutembea porini among the buffalo
behold and lo i am never solo
nawe kando yangu
my dad but pia a bro
bila baba, bila baba
uko wapi? uko wapi?
mama hapa, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
bila baba

uko wapi
umepotea
kunyamaza
hapo kwa nyumba
kuna machozi jana toka
ninahitaji kuk~mbuka
sauti yako imepotea
tafadhali rudi tena
ninaangalia mwezi na nyota
zinazokufikiria
kwamba utarudi
siku moja
solo pienso en tu recuerdo
de tu mirada de tu sonrisa
oye baba no te vayas
que sólo queda el silencio
de tu presencia
hay tristeza en tu pasado
y las huellas sin memoria
van corriendo con el tiempo
prendiendo fuego a tu recuerdo
oye baba no te vayas
tafadhali
bila baba, bila baba
uko wapi, uko wapi
mama hapa, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia, eeh
bila baba

wahenga walisema
mtoto wa nyoka ni nyoka
marto, thank you for everything
you make me who i am today

ooh
kuk~mbatia, k~mbatia
bila baba, bila baba
yeah, eeh
ooh

bila baba, bila baba
uko wapi, uko wapi
mama hapa, eeh
kuk~mbatia, k~mbatia
kuk~mbatia
bila baba, eeh
bila baba
eeh
ooh
bila baba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...