lirik lagu rizzo - soldier
intro] rizzo
35 35 3560
“[?]”
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[verse 1] g star
aah
we’ jua tu si’ huchukua tu vile ime~come
ukiweka resolution me nime~set goals zangu
niko na ki~pipe pipe na kina babu
na tukona bamboo za kuleta adabu
sharty muislamu anani~show mtaani ni lamua
alinipea yellow bado nikafunga tatu
nishai kuwa deep hunting karibu kujisahau
nishai kuwa maze running mpaka kwa matatu
mshai fanyiwa uduu alafu karma ika~do
maderee kwa hii jeshi hii mbogi inaweza ku~screw
usikuje na mamoshi wherever singem”[?]”
na wakidai kucheza “[?]”
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[verse 2] rizzo
easy come easy go so nabaki hard core
kunibakisha is a very big no
cheki
kwa battle field nimejibebea mto
aah
ready to die nak~mbuka niliwa~show
i’m so brave kama lion sio simba
you can have my time ka’ ni shughuli tunapiga
nike kicks saa ya weather ni marimba
makoja ni biggy unaweza uliza g star
na~stand tall very tall kama pyramid
usi~talk sh~t hizi endz utalazwa g
mko na beef me kejani nimejaza green
banja kwa net kwa street huwezi fanya sh~t
[chorus] rizzo
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni~win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
[outro] g star
“[?]”
we rep’ing east side
3,5,6,0
yeah
east side “[?]”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ync tyzzo - cold love letters
- lirik lagu dionysos - la métamorphose de mister chat (feat. clou)
- lirik lagu egovert - night before egodeath...
- lirik lagu hoynar - patru pereți
- lirik lagu franux bb & awesome pierre - + que ayer
- lirik lagu tha god fahim - memento mori
- lirik lagu baby neelou - anti-jeu
- lirik lagu rocket (band) - crossing fingers
- lirik lagu deniz seki - doyamadım
- lirik lagu poison mobutu - mon rap (feat. alibi montana & bastos)