lirik lagu rich mavoko - wezele
yeah yeah …ayeee . (badman)
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele ilo wezele
[verse 1]
ukikaona kama form 2, form 1
ila age imekataa hivii
sio mhindi mbaniani
ila nakapendani
mamilove mamilove
i wanna see you this night
mamilove mamilove
yako inabana inatight
unachovya yote
unapepeta unapepeta
yaani kote kotе
unakeketa unakekеta
ukipanga izo kodi oooh
unapendeza sauti kama kwaya
siwezi gonga hata hodi oooh
makengeza kidume na retire
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
[verse 2]
turn me on
baby turn me on
ukinipa pande na score
naweka hata million
nakupa hata milioni
leo sitoi bob
kama naugua kidege
(we mama weee, we mama weee)
yaani nimelewa mdege
(we mama weee, (we mama weee)
ndani ya groundi,izo roundi
zinanifanya niwekeee
naforci ata poundi, ya soundi
ya kukufanya ucheke
mamilove mamilove
i wanna see you this night
mamilove mamilove
yako inabana inatight
[pre chorus]
kama salio limekataa
itauga cha kufataa
baby back to the matter
hiyo minyoosho matata
[chorus]
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
asa asa tingisha wezele
aaah wezele
aaah tingisha wezele
ilo wezele
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sebastian noto - dimmelo
- lirik lagu cedarbuffalo732 - художнику на память (to the artist as a keepsake)
- lirik lagu courtney (project snt) - sylveon trolls mega evolutions - the musical
- lirik lagu pedrin (rapper) - sempre volta
- lirik lagu jimmy mc - the creator
- lirik lagu skai - get geeked (skai remix)
- lirik lagu freud marx engels & jung - jotkut päivät ovat kultaa
- lirik lagu mellow rackz & lil yachty - move along
- lirik lagu kid bowery - testimony of pilot
- lirik lagu dropptripp - не волнует (do not care)