lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rich mavoko - rudi

Loading...

“rudi” – rich mavoko ft patoranking
[verse 1 – rich mavoko]
sauti na tabasamu lako
ndio linafanya nikuk-mbuke
kinachoniumiza mwenzako
unapolia chozi nsifute
mapenzi sidhani mimi
kilichobaki ni uadui
kuniona hautamani kwanini?
kweli maziwa nimegeuka tui
nami nina moyo
yapita miaka mingi sijakuona
nami nina moyo mama
upate siku moja uje niona
nami nina moyo
yapita miaka mingi sijakuona
nami nina moyo mama
ungalisema neno moja ningepona

[chorus – rich mavoko]
mwenzako sura yangu (nitaiweka wapi?)
ooh sura yangu (nitaiweka wapi?)
ama moyo w-ngu me (nitauweka wapi?)
ooh moyo w-ngu (nitauweka wapi?)
mwenzako sura yangu (nitaiweka wapi?)
ooh sura yangu (nitaiweka wapi?)
ama moyo w-ngu me (nitauweka wapi?)
ooh moyo w-ngu (nitauweka wapi?)

[verse 2 – patoranking]
sickness sickness sickness small me
well me yes, you are dumping me
in this wicked world
baby every one needs a company
my heart bleeds
for your love
girl i bleed for your love
me, me can imagine
if u know dey me, what a sad ting (aaaaaeeeeeh)
i cant imagine
you inna me life girl what a sad ting
nikiwa nawe mwenzako ndo napona
na nikilala usiku ndotoni nakuona
ukipata mafua me napa ka homa
i wanna be your lover, your friend and your owner

[verse 3 – rich mavoko]
kwa mawazo silali mama yangu
basi rudi ooh
natamani ulitaje jina langu
makusudi ooh
nami nina moyo
yapita miaka mingi sijakuona
nami nina moyo mama
upate siku moja uje niona
nami nina moyo
yapita miaka mingi sijakuona
nami nina moyo mama
ungalisema neno moja ningepona

[chorus – rich mavoko]
mwenzako sura yangu (nitaiweka wapi?)
ooh sura yangu (nitaiweka wapi?)
ama moyo w-ngu me (nitauweka wapi?)
ooh moyo w-ngu (nitauweka wapi?)
mwenzako sura yangu (nitaiweka wapi?)
ooh sura yangu (nitaiweka wapi?)
ama moyo w-ngu me (nitauweka wapi?)
ooh moyo w-ngu (nitauweka wapi?)

[outro- rich mavoko & patoranking]
(wasaaaafi)
nimefuta na mabaya yako (ayeeh)
sikutishi me kinyago wako (ayeeh)
ninachotamani ni uwepo wako (ayeeh)
kwenye nafsi upo peke yako (ayeeh)
please don go (ayaya)
girl please don go (ayaya)
please don go (ayaya)
world best n mavoko


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...