lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rich mavoko - mtaa

Loading...

[instrumental intro]
hey, hey
[?]
[?]
hehehe hehehe

[verse 1]
ilala mabegani
kwa miguu mpaka kariakoo (mpaka kariakoo)
kona kona za jangwani
kote pindi nasoma (pindi nasoma)
route kimara, nikimfuata sara
[?] naye anaishi ubungo
nikirudi zangu temeke
au mbagala nikatafute maseke (eh)
mbio zangu za kawe
nitapita mwenge kwenda madale
zama tegeta, mbezi ‘kwa mikeka
twende tabata kwa wala bata
route upanga, kwa kujipanga
tuchimbe sinza, kwa wajanja

[chorus]
mi umenikuza mtaa
umenifunza mtaa
kabla sijakuwa staa
umenilea mtaa
mi umenikuza mtaa
umenifunza mtaa
kabla sijakuwa staa
umenilea mtaa
[verse 2]
mishemishe ‘magomeni (yes)
kwenda kufosi kinondoni (aye)
na kata kata mikocheni
hapo ndani naibukia macheni
na katiza barabara, mwananyamala
narudi mtogole ‘kwa kina kipara
pande za buza, ni shabaluza
kiwalani k~menikuza
vingunguti, kigamboni, gongo la mboto [?]

[chorus]
mi umenikuza mtaa
umenifunza mtaa
kabla sijakuwa staa
umenilea mtaa
mi umenikuza mtaa
umenifunza mtaa
kabla sijakuwa staa
umenilea mtaa

[post~chorus]
[?] za kigogo, mabibo, keko (umenikuza mtaa)
tandale, manzese, oysterbay, masaki, chanika
umenikuza mtaa
with badmon k!ller, badmon k!ller, with a badmon [?]
mh, na [?]
niko na [?]
[instrumental outro]


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...