lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rhyme city (smokavelli) - mali

Loading...

(intro)
velli
kayzen got another one

(hook)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day (uh)
bars nimejaza kwa beats, spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa (ayy)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day
bars nimejaza kwa beats, (uh) spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa

verse 1
sunrise nasaka maweng, sunset naseti kwa savings
kwa game nilicome na plan, i really don’t follow n0body
rhyme city bado the band, am still with moeh na chizzi
kwa city tunarun na pride, outchea we badder than dem
shawty a bird in the trap, i know she in love with thе gang
akisema ananipenda siamini, najua ya ndugu ni ya mbogi (ayy)
daily nachill na senator woh na sijai ingianga bungе
velli nabonga majugs, vile niko cups ka bra (ayy)
jina najenga kwa mziki na ikibidi pia kwa kiki
sou civo ndo utanipata kama unanisaka
doubles ls kwa jina hiting double leaks on a daily
chain sitini kwa shingo, drippin, ni kama nilikuwa waterboarded (ayy)
(hook)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day (uh)
bars nimejaza kwa beats spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa (ayy)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day
bars nimejaza kwa beats (uh) spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa

verse 2
jah ndo bigger man kwa beef uh mi ni mpetty don’t test me
na plug hudeliver popote, ayy untouchable kama akasha
racing na codeine kwa dashboard, sippin nikiswerve malanes
roads tulirun dead ends uh, kuna mandugu hawakufika
step kwa stu criteria ni bars utadhani nimetoka kamiti
mi huseti face kwa case ayy, hizo mascandal sijali
mceeees nakata vichwa smoka last name guillotine
kiburi all in they faces, kama pimples nikiwa form three

(hook)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day (uh)
bars nimejaza kwa beats, spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa (ayy)
mali inacome na bags, blowing like 20 a day
bars nimejaza kwa beats, (uh) spittin’ 16s a verse
i been in my feelings for a day, nilipeana majomos kwa dame
dreams zinafanya silali, najua kuna day itajipa

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...