lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu reuben kigame na sifa voices - nitainua macho yangu

Loading...

nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada w~ngu watoka wapi
_ninajua ni kwake bwana_
anilindaye halali
ninajua hasinzii
nitokapo niingiapo
kweli najua ninajua yuko nami
nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada w~ngu watoka wapi?
ninajua ni kwake bwana
yeye ni bwana wa mabwana
yeye mfalme wa wafalme
mshauri wa ajabu
kimbilio maishani
nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada yangu watoka wapi?
ninajua ni kwake bwana


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...