lirik lagu rayvanny - unaibiwa
(verse 1)
usidate na njonjo za mapenzi
vicheko bandia usoni kudeka k-mbe ana pretend
maufundi toka tanga na zenji
vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji
anakuchanganya kiunoni shanga
marashi kama uko peponi
mtoto sauti kinanda
ya k-mtoa chatu pangoni
ukishatafuna karanga
hutaki hata aende sokoni
anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mf-koni
(pre chorus )
ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
baby me i like that
nakukupamba kwenye simu video snapchat
k-mbe hana maana hadi mangi
anamwita sweetheart
kisa anakesha gym kutafuta six packs
(chorus )
unaibiwa!! unaibiwa!!
unaibiwa!! unaibiwa!!
(verse 2)
kuna kina rose visosa
wale wapenda verossa
ukipita na shati na moka
lazima watashoboka
wakiomba lift ogopa
miguu dashboard vishoka
mchunguze cheni goroka
nywele na pochi kakopa
eh
usije kuyavamia yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia
kuna wenzako w-n-lia walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia
hata ukimuonga ferrari hatokuona rijali
wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali
atakamatwa na mangangali
vijana machachali
hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali
(pre chorus )
ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
baby me i like that
nakukupamba kwenye simu video snapchat
k-mbe hana maana hadi mangi
anamwita sweartheart
kisa anakesha gym kutafuta six packs
(chorus )
unaibiwa!! unaibiwa!!
unaibiwa!! unaibiwa!!
(bridge)
unadhani niwapekeako
k-mbe wengine wameshaweka kambi
kakupendea macho
wapo wengine kawapendea rangi
ye ni gari la dampo
hachagui taka dereva mpe ganji
wakubadili sample
akila mihogo karoti hazipandi
(chorus)
unaibiwa unaibiwa
unaibiwa unaibiwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu buena vista social club - pedacito de papel
- lirik lagu 常思思 - 註定 (電視劇《秦時麗人明月心》插曲)
- lirik lagu citipointe live - offer my life
- lirik lagu cody carnes - wait here
- lirik lagu nick mulvey - transform your game (we remain)
- lirik lagu k3tsuban - meet ket
- lirik lagu elton john - in the name of you
- lirik lagu binx - feels so good
- lirik lagu fink - day 22
- lirik lagu jason mraz - i'm yours