lirik lagu rayvanny - magufuli jembe
jembe
jembe
jembe
jembe
jembe
jembe
tanzania ya leo yapendeza sababu ya magufuli
nidhamu kwa watumishi wa umma twahudumiwa vizuri
rushwa imekomeshwa sio kama zamani
siku hata vigogo wanafikishwa mahakamani
vifkra nzuri ya baba wa taifa kaendeleza leo
40% ya mapato kwa maendeleo
mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma
mikopo isio na tija na miladi feki amegoma
amesema imekua serikali sasa ipo dodoma
kajenga ikulu chamwino na kaipiga teke korona
ayaa!! flyover tazara ubungo? (ndiyooooo)
standard gage je? (ndiyooooo)
hospitali na zahanati? (ndiyoooooo)
shule bure kwa wanafunzi (ndiyoooooo)
magufuli jembe
linalima linalima lima linalima
magufuli jembe letu
linalima linalima lima linalima
ccm jembe
linalima linalima lima linalima
ccm jembe letu
linalima linalima lima linalima
taifa zima linamuombea mema magufuli
wakulima kawapigania walipwe vizuri
wamachinga!!! (wanampenda)
madereva!!! (wanampenda)
mama ntilie!! (wanampenda)
hadi watoto!! (wanampenda)
kina mama!! (wanampenda)
vijana na wazee!!! (wanampenda)
yani hadi wapinzani!! (wanampenda)
j~po wanavunga!! (wanampenda)
ayaa maji na umeme hadi vijijini (ndiyooo)
nidhamu serikalini (ndiyoooo)
mambo nimetuma toka juu hakuna(ndiyo)
ndege kama zote (ndiyoooo)
magufuli jembe
linalima linalima lima linalima
magufuli jembe letu
linalima linalima lima linalima
ccm jembe
linalima linalima lima linalima
ccm jembe letu
linalima linalima lima linalima
aya twende pasha pasha pasha pasha
kina mama pasha pasha pasha mikono pasha
kina baba pasha pasha pasha pasha
twende
magufuli (choma)
mama samia (choma)
kassim majaliwa (choma)
hadi makula (choma)
aya twende kole kole (piga makofi)
bashiru ali (piga makofi)
dokta shein (piga makofi)
miguru chemba (piga makofi)
makonda mikono juu
kushoto kulia kushoto kulia
kibagwala mikono juu eeeh
kushoto kulia kushoto kulia
mavunde mikono juu aiyeeh
kushoto kulia kushoto kulia
tatu pia mikono juu
kushoto kulia kushoto kulia
peperusha bendera
aa bendera
madiwani wote peperusha bendera
aee aa bendera
wabunge wote peperusha bendera
aee aa bendera
kina mama wote peperusha bendera
ccm peperusha bendera
aa bendera
by abasy de smartboy
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu münir fikret kızılok - gidiyorsun
- lirik lagu lee montana - love you
- lirik lagu houdini - big time
- lirik lagu farom baby - cash
- lirik lagu imha tarikat - brand am firmament
- lirik lagu guyku - curry
- lirik lagu 100percent% - crawl
- lirik lagu deep prinja - scanner dimaag
- lirik lagu what kills - jaded
- lirik lagu слава кпсс (slava kpss) - губернатор (the governor)