lirik lagu rayvanny - juu
(it’s s2kizzy beiby)
maboya wanateta, kama mi napeta
i’m making my paper (making my paper)
sijachana mikeka mif~ko imecheka
sa mwendo wa mateka
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
~ wanataka battle ila mi nawaweza
hata kucompare
the rap heat na ndo zinazo tamba on air
king juu ya chain, dollar ju ya udone air
so ukiwasha moto so kiki wanajua wanakuchochea
cause i’ve k!lling rappers kama nyinyi
na sio peke yako labda uje na wenzako themanini
maana mie peke yangu kama rappers mia
na nyinyi sitini
so uje na rappers wote ambao wanabeef na mimi
si funny huwa sichekagi na adui vitani
mi na shetani akiskia beat ananipanda kichwani
na mama zako siku zote wanadata na fani
watachana ila kupendwa na mavijimama ndo sidhani
na nata utanitaka, na ndio maana watoto wanadata
ju skinny nanata swadakta na nyumbani ukiwa ndani utanipata
ukinikata una cheese ya mambata
sio uoga nguo ~~ tunamfuata
utamu huwaga ndo utamu wa bata
ulichokitaka ndo unachokipata sasa
b~tch!
maboya wanateta, kama mi napeta
i’m making my paper (making my paper)
sijachana mikeka mif~ko imecheka
sa mwendo wa mateka
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
wanafosi tabasamu la kibosi
kwenye sura za madeni
kunichukia ni kuchemsha maji
kovu la mpeni
mi mambo ya basha, haya kenge mchicha nifuateni
ghetto jipepee, koffi olomide hakuna feni
nacheka na masnitch utasema siwajui jui
more money gucci prada lui lui
hata anipe bure sinunui
v vanny boy mr big name, chui chui
mziki shule watoto walikimbia umande
sasa unashindanisha pilau na makande
nenda kaw~nge ila bado utakaa upande
naitwa chui toka wasafi kwenye ukoo wa mzee nyange
maboya wanateta, kama mi napeta
i’m making my paper (making my paper)
sijachana mikeka mif~ko imecheka
sa mwendo wa mateka
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
mikono juu (eeh), mikono juu (eeh)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the broken view - the fall
- lirik lagu granada - summerfieber
- lirik lagu zqnnex - 444
- lirik lagu childhood - just floating
- lirik lagu bishop delgado - gasoline
- lirik lagu folkeklubben - "københavn"
- lirik lagu fellwalker - we work the black seam
- lirik lagu boogie jaxon - juice
- lirik lagu 22gz - bag*
- lirik lagu isak shorty - e e good!