lirik lagu rayvanny - happy birthday
oh my god it’s my birthday
oh my god it’s my birthday hey (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
siku nyingine ya furaha
am so happy happy happy (happy happy happy)
mwaka mwingine nimevuka
am so happy happy happy (happy happy happy)
asante mama, asante sana kwa kunizaa
upendo wako moyoni mw~ngu hutochuja
siku kama leo ulimwaga chozi la furaha
mtoto wako damu yako nimekuja
niko na marafiki (ahee)
kuna zawadi (ahee)
twacheza mziki (ahee)
wanamwaga maji
basi post picha yangu (ahee)
niletee na keki yangu (ahee)
tufurahi ndugu zangu (ahee)
maana leo ni siku yangu
oh my god it’s my birthday
oh my god it’s my birthday hey (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
oh my god it’s my birthday
oh my god it’s my birthday hey (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
happy birthday to me (happy happy)
kata keki (kata kata)
tule (kata kata)
leo siku ya furaha (kata kata)
tule (kata kata)
muite chap chap mutua (kata kata)
kama anakupa chukua (kata kata)
kata (kata kata)
kata (kata kata)
hee! kwani baba mnataka nini? (tupe pombe)
eeeh (tupe pombe)
nini? (tupe pombe tulewe)
vipi hamtaki juice? (tupe pombe)
maji vipi? (tupe pombe)
hata soda? (tupe pombe tulewе)
kina dada mnataka nini na nyie (tupe nyama)
eeeh (tupe nyama)
ugali? (tupе nyama tushibe)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu angelica (uk) - nothing special
- lirik lagu yuto & dopeonigiri - steppin' out
- lirik lagu k.a.a.n. - gone
- lirik lagu david hasselhoff - i was made for loving you
- lirik lagu 3 busserulls - dei saliges kvarter
- lirik lagu zubi - before
- lirik lagu azkal - cross your mind
- lirik lagu neto muniz - só pode ser você
- lirik lagu atpc - qui da noi
- lirik lagu lor scoota - more than music