lirik lagu rayvanny - chuchumaa
vanny boy
chuchumaa kama vile unafua
mama unapika basi nije kupakua
chuchumaa kwenye choo cha mabua
ila chunga mchanga usiingie kitumbua
chuchumaa! kisha ulegeze nyonga hiyo
chuchumaa! unitoneshe kidonda hiyo
chuchumaa! ona nyoka anaconda hiyo
chuchumaa! ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo
ai katoto, moto moto
moto moto, moto moto
aii baikoko, moto moto
joto joto, moto moto
kamata ukuta
shuka mpaka chini take it down zungusha
kamata nakupa
nikishika nyundo nipasue kichupa
oweoo weoo
kina dada mko wapi?
oweoo weooo
basi muingie kati
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
kimbau mbau, tukunyema
pilau lau, nipe supu tena
mashau shau kana sinema
yaani kanakula ndizi bila k~menya
basi nipe za kichina eeh, msamba
fanya kama bruce lee, msamba
viuno vya kusigina eeh, msamba
fanya kama jet li
unavyocheza kwenye chaki
nataka hakataki
na chumbani
varangati kwaito
na pembeni
katikati
nakatachi bila wasi
kamedata na wasafi tittle, ooh
ai katoto, moto moto
moto moto, moto moto
aii baikoko, moto moto
joto joto, moto moto
kamata ukuta
shuka mpaka chini take it down zungusha
kamata nakupa
nikishika nyundo nipasue kichupa
oweoo weooo
kina dada mko wapi?
oweoo weooo
basi muingie kati
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
chuchumaa! chuchumaa!
tingishika, tingisha
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu alex2tact - 2024 is mid
- lirik lagu ссстрози (ssstrozy) - бежим (run)
- lirik lagu beton [illegal team] - siegkla$
- lirik lagu janet paschal - grace enough
- lirik lagu ckay - is it you?
- lirik lagu vincent t. - remembered
- lirik lagu panache! (paris) - c'est toi
- lirik lagu nilipek. - ayrılık şarkısı (kargo: yarına kalan şarkılar)
- lirik lagu lv (lvn) - gelonade
- lirik lagu w la promesa - avioncito de papel