lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - umefanana nae

Loading...

baby today lemme talk you
kwakua nakupenda sana ni salama sana ujue the truth
please vumilia utasahau na ili mimi  niwe free leo nita comfess tu

ex w~ngu umefanana nae sana yani mpaka majina
kwanzia sauti sura shape umemzidi kiana
tulikuwa deep sana ila mwenendo ulinishinda
tuliachana ila kibaya hatukuachana mazima

ex w~ngu bado ananiaminia
napokuwa nae hata mtu wake simu anamkatia
anaeza vimba kwa watu kuwa hanipendi ananchukia..
k~mbe bado ananicare na kila usiku ananipigia…

kuna angle ye ananipatia
nkiwa na shida simu moja kwa ex w~ngu chap anaitatua
iwe snapchat, tiktok au status
ananatamba yuko mapenzini ila cha ajabu nikikupost namshtua..

dah! ananiteka vyepesi
anaelewa nikiwa happy na nikiwa na nikiwa na stress
huwa tunapasha viporo fresh
nahisi ananitajaga jina hata akiwa na bwanaake wana se…x yes

hiyo ni technical problem baby
ka ukifanya nimsahau kabisa utakua umeniokoa
asije akalea wanangu kwenye ndoa yake hilo doa
let’s play fair my baby

basi nitajitahidi k~msahau
shida mmefanana sana kila ntapokuona nitammiss
na umeshajua ukweli utaanza kunihisi
nacheat nae
na mi kukuaminisha sina jinsi

na tena ndo ushamjua mbaya wako hata ukiona namba mpya inanicheck
hutouliza who is this!?
babe i need peace in ma heart
i don’t wanna play dirty games anymore
trust me please, i’m sorry!

written and performed by rapcha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...