lirik lagu rapcha - tunajimwaga
yea yea yeah yeah
verse 1
hii sound ndio wana wanaipenda
popote wana~vibe wanacheza
show me now kama you can dance
onesha ka unafeel hii sound
ushanipata!
ladies whine.. whine.. whine
show them ka uko fine fine fine
wanangu wako high wana~blaze chunga usiwadisturb (oooh aaaiyaah)
bridge
one time for my shytown girls (oyeaah)
two times for my a~town girls (oyeaah)
three times my dar~es~salaam girls
me i got love for you
(yeah yeah yeah)
one time for my rock city girls (oyeaah)
two times for my dodoma girls (oyeaah)
all my tanzanian girls
me i got love for you
chorus
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
naona watu wameshona
wengi kinoma
wanaruka mangoma mhh aaah
tunajimwaga
verse 2
mziki unanoga nayaruka
nenda nao
rudi nao
mziki unanoga nayaruka
nenda nao
rudi nao
zikikita ngoma jisogeze
tujipongeze tucheze
na pesa kila kona ijitokeze
tusiipoteze nyingi tuongeze
wanangu force mpaka iwe (iwee)
changa changa mpaka iwe (iwe we we weeeh)
kama noma acha iwe (iwee)
we ng’ang’ana mpaka iwe (mpaka iwe) ah!
one time kwa wanangu wa magetto (ooo yeah)
two times kwa mahustler msoto (oyaaa)
three times kwa machizi wenye ndoto
tutaishi good life tu
chorus
tunajimwaga! mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
naona watu wameshona
wengi kinoma
wanaruka mangoma mhh aaah
tunajimwaga
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu claudio sirigu - privato
- lirik lagu legss - on killing a swan blues
- lirik lagu porter b - vibe
- lirik lagu reona - いかり (ikari)
- lirik lagu ll negar - u always shine when u r under the moon
- lirik lagu legorreta - my mind
- lirik lagu zayn - yellowtape grimez
- lirik lagu scum (usa) - chistka
- lirik lagu brandon stansell - good at the time
- lirik lagu dessphoric - lost in stars