lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - nobadi

Loading...

99 what’s up?

mfoy

mfoy

mfoy

mfoy

famous au unknown

maisha yamenifunza stand alone

pale ninapoona respect is gone

i burn that bridge and i swim back home

na kukaa kimya sio sign ya weakness

huwezi kaa kimya kama we sio strong

sihitaji bow down ili nikuoneshe nakuheshimu and siezi ata change my tone

kama tuna ishu tunakaa nkuombee
mi uoga nimezika r.i.p

huwezi kuniface don’t text me

nipo unavailable, d~n~d

nkitafuta wa k~muhofia najiona ka kipofu coz’ i can’t see n0badi

god eyes watching over me

thats why siwezi fear n0badi

that’s right

siwezi fear n0badi

siwezi, siwezi fear n0badi

nitazame usoni hata sihofii

maana mi siwezi fear n0badi

i can’t see n0badi
so siwezi fear n0badi

nitazame usoni hata sihofii

maana mi siwezi fеar n0badi

pale ukiwa juu unapaa washkaji huwa ni wengi, circle in~z~di ku’еxpand

wana watakuacha tu u’fly

watakupa mawazo ya kujenga sana ukiwa una’land

standard zake kazi’set very high ili tu machizi wenye dow ndo wamg’oe

na kwa jinsi ambavyo anatamani kuionja fame siku moja nitamuweka halafu nimtoe

kama tuna ishu tunakaa nkuombee mi
uoga nimezika r.i.p

huwezi kuniface don’t text me

nipo unavailable, d~n~d
nkitafuta wa k~muhofia najiona ka kipofu coz’ i can’t see n0badi

god eyes watching over me

thats why siwezi fear n0badi

that’s right

siwezi fear n0badi

siwezi, siwezi fear n0badi

nitazame usoni hata sihofii

maana mi siwezi fear n0badi

i can’t see n0badi

so siwezi fear n0badi

nitazame usoni hata sihofii

maana mi siwezi

over me

siwezi fear n0badi

sihofii

siwezi fear n0badi

sihofii


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...