
lirik lagu rapcha - kilio chetu
n~z~ haziwezi digest
i’m just being curious, i wanna know a lot about s~x
yani nini kiko behind s~x
why maisha ya mwana damu yametawaliwa sana na s~x
huwa naskia watu wakicomplain wasanii kila siku wanatuimbia ngono
ila mbona hata sisi kwenye vichwa vyetu haipiti lisaa bila akili kuiwaza ngono
amkia social media tu kwenye memes kama k~mi kuna tano zinahusisha ngono
au kwanini unapogombana na mtu tusi kali atalokupa mara nyingi litahusisha ngono
okay, watu wanafanya ngono ili wapate kazi
na wengine wanaendekeza ngono wanapoteza kazi
wengine hawana kazi ngono wanaifanya kazi
kwa wengine ni starehe baada ya k~maliza kazi
ni ngumu kusubiri hadi ukubwani
ikiwa wakubwa wanaipromote sana daily na wanamsingizia shetani
ukipitiwa mara mbili na shetani jua shetani hawezi kwenda bila wewe kwahyo wewe ndo shetani
people k!ll kwasababu ya monеy
na mara nyingi pichu hazivuki bila money, mtaani
ugumu wa maisha tuko matatani
ila inafika mahali mtu anachagua s~x over monеy
starehe yake sio bubble gum
sijawahi kutosheka ngono tangu siku nimeionja first time
inakuchosha ila unajikaza halafu hata uifanye vipi now utataka tena next time
nlitamani kuonja ngono maana nkiwa 15 tayari nlikua na taarifa zake nyingi in my head
lost my virginity kwa dada aliyenizidi miaka zaidi ya 30 naamini mungu ashasamehe
nimefeli kuanza mahusiano mengi kwasababu niliongea sana kuhusu s~x kwenye talking stage
demu anaeza play hard to get na unakuja kugundua kuwa ye ni s~x addict toka under age
mahusiano mengi sana yapo tu kufurahishana
ukitoa s~x hamna kitu mnaezahusiana
inabidi kwanza shida zije muanze kujuana
shida zinakuja ikiwa tayari mmeshakolezana
toxic relationship ingenitoa uhai kwa sababu tu ya namna kwenye ngono tulivibe sana
ishi ukik~mbuka kuna watu wana password za mwili wa mpenzi wako zote kabla hamjakutana
s~x iko very very spiritual
na kuna wenzako wengi wanafanya s~x kama ritual
wengi wakifika njia panda wanaenda both ways nowdays
keep that story for a few days
i’m just praying for a new day
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu la fouine - quand je dis stop
- lirik lagu ️chi - your lover
- lirik lagu halny - nasa
- lirik lagu jpaulished - things get dark
- lirik lagu sundaze (rock) - bare-knuckle boxing
- lirik lagu starcris - amor de agua y sal
- lirik lagu claire hastings - let ramensky go
- lirik lagu jamwayne - wonderful (plugged in)
- lirik lagu crbrvs - reap
- lirik lagu rapcha - no turning back