lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - happy nation

Loading...

nimeamka asubuhi bila motivation

na kichwani nikiwa na so so many questions

naongea na baba please show me direction

kuona hizi hatua inahitaji dedication

kuna muda tuna pop bottles celebration

thou tuko very sad kwenye free nation

najikuta naover think kila situation

ili nitulie ninahitaji meditation

mitihani ya maisha no preparations

ubinadamu kazi mwisho kifo haina pension

maisha movie la kivita tunafia location

yanakwenda yalivyopangwa no complication

kuna kitu inaitwa muda haina compensation
ila ukiwa na imani unaweza pata compensation

mungu anaweza kurudisha miaka 7 iliyopotea kwenye mwezi mmoja kukiwa na determination

any questions?

tunatabasamu usoni ila tuna majonzi moyoni

tutafika kwenye happy nation

happy nation

tutafika happy nation soon

tutafika kwenye happy nation

happy nation

tutafika happy nation soon

tutafika kwenye happy nation

miaka mingi ninafight for liberation
bado nina suffer na police oppression

usipofunga hilo bakuli kwa intimidation

kеsho yake watakushusha kwenye happynation

mapеnzi matamu zaidi ya mango passion

wanaopendwa hii kwao sio exagerattion

raha ya mwanzo italeta expectations

maumivu fainali muda wa separation

kila 24 hours nina prayer session

nina mengi ya kushukuru kila situation

baby mama kajifungua bila complication

sauti yangu ina penetrate kila nation

tunatabasamu usoni ila tuna majonzi moyoni

tutafika kwenye happy nation
happy nation

tutafika happy nation soon

tutafika kwenye happy nation

happy nation

tutafika happy nation soon

tutafika kwenye happy nation

kazana

pambana

amini tutafika

kazana

pambana

amini tutafika

na we unaweza jiamini

ongeza mwendo ili usogee

ushindi wako uko pale

ongeza mwendo ili usogee

we unaweza jiamini

ongeza mwendo ili usogee

ushindi wako uko pale

ongeza mwendo ili usogee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...