
lirik lagu rapcha - flight to zenji
[verse: rapcha]
badman don’t kiss ass
i’m after my business
i thank god for this grace
i’m so hard to replace
very hard to detect
i’m too hot like desert
too cold like dessert
man you don’t know me like that
wanaomba location watukute where we at
but, tuko mbele yao, wanaongea si tuna act
fact
kituo kifuatacho global, mi maongezi sitaki
‘uck! kila nkiona tu camera i wanna spit like pac
mi siwekagi wazo nna start
double hustle utaona impact
ka ukinikuta ndani ya stadium nanukisha utahisi ni fati (ansu)
roho safi chafu ni shati
hunijui kiivyo, infact
chawa hapa hawezi survive namvunjia kidole cha kati
ustake pima you can’t
mbwiga, you don’t know me like that
mi siroll na washkaji ambao mbele ya nyau ni rat
njia nliopita ups and downs nmeona nyingi toka nna start
but, way i run the game unaeza sema road ni flat
fact, just look at whеre we at
mtanisifu sana kwa bars nyinyi mi nikiwa hayati
walificha ngazi tubaki chini tukabeba manati, ah
circlе ilivyo ni ka virgin vile ambavyo ni tight
[chorus: rapcha]
mi sipo hata complicated, you don’t know me like that
taking flights, naenda zenji
i don’t take advice
don’t complain kuwa nimechange you don’t know me like that
i focus on my business
my business my life
[verse 2]
mwanzo wa wiki mpaka weekend
ndani ya vichwa vyenu ndipo ambapo muda wote naspend
bila senti na tarehe zinapinduka siwapi hata rent
ka’ mkinitoa ndani ya vichwa vyenu vinabaki tu empty
empty
empty ka kibubu chako cha rent
hela ya pochi unampa ya nini wakati kichwa chake ni empty
wanataka kwenda kwa jah ila hawatofika na hate
sema hatuko close like that, maybe ningeshawapa tiketi
wallah
mi napenda vitu viwe perfect
ila sitaki demu ambae anataka niwe perfect
ananisoma kila day, anataka niwe gazeti?
anataka niwe puppet asiejua nini respect
usinifundishe how to care, i’m just doing what i like
i just do it i don’t care,mi naongeza pair za nike
hunijui very well, wala sina look alike
i know how to treat a girl, you’re just not the one i like
excellent work and again the beat is dope
[verse 3: rapcha]
yogo mi nna ushkaji na peni baada ya shule ikanipa hit (hit)
mi nna ushkaji na peni you can tell by the way i spit (spit)
mi nna ushkaji na peni and i take that sh~t too deep (deep)
mi nna ushkaji na pen writting pays talk is cheap
tulikua chini wakakimbia, sa si ndo ule muda wa kuongea fact
ile wametoka dow ikaingia, sa si ndo ule muda wa kuwalia bati
siku itaisha nikisinzia sa si ndo ule muda wa kuingia pati
afu watoto wanajiachia, sa si ndo ule muda wa kuingia kati
bring more 50, 50, 50, 50 bottles for my friends
more more pretty pretty pretty pretty ladies with their friends
mi i dont give a s~h~i naacha wambea wapate tea
only jah judging me
there is something about me
i don’t give a s~h~i~t when i’m on t.h.c
8 billion people dunia hii please don’t play with me
nimeishinda vita chuki come and celebrate with me
don’t play with me
they didn’t believe in me
vile navoshine i knock their heads like
knock their heads like
vile nnavyoshine nawakoa kwenye bed like uhh!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu zzz. - 1
- lirik lagu eiffel 65 - fare a meno di te
- lirik lagu eumempha - no way home
- lirik lagu muharrem aslan - kalabalık yalnızlığım
- lirik lagu mc blika - fiz pouco de ti
- lirik lagu hole bootleg albums - softer, softest (live at lollapalooza, july 19, 1995)
- lirik lagu the toxhards - apple tv
- lirik lagu angående mig - jeg håber du er træt
- lirik lagu cutty vibez - wish i was home
- lirik lagu jolly rox - fool's night