lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - enjoy

Loading...

[intro]

99 everything

last king

[verse 1]

oya moko moko yes au vipi?

tujiachie ka hatuna kesi au vipi?

pakizidi unyama tunapoa au vipi?

pakiboa tunachimba fresh au vipi!?

wakizingua n~z~ngua eeee au vipi!?

fresh tu kavu yes au vipi!?

wachumba wakishoboka hatuvungi au vipi!?

macho yote yapo on us kwani vipi?

vipi tag lako la kidwanzi au vipi!?
hivi wanajificha wanajibrand hawa vipi!?

meza zichaf~ke times two au vipi!?

na jikoni mpaka tuongee au vipi!?

[chorus]

kaokote, ukipata , enjoy

kaokote, ukipata , enjoy

kaokote, ukipata, enjoy

kaokote ukipata enjoy

[verse 2]

na vikao hufanyika bar au vipi!?

vinginevyo tutakua busy kwan vipi!?

unaenjoy zaidi ukilipia au vipi!?

pesa haikai ikitulia au vipi!?
party don’t stop tunahama au vipi!?

suka endesha kama imeibiwa au vipi!?

tochi zote zimeshalipiwa kwan vipi!?

jah tu ndo anatuprotect au vipi!?

living our life to the best au vipi!?

kitakachoturudisha down sjui kipi!?

circle itabaki kuwa tight au vipi !?

kutokujuana ni silaha au vipi!?

so you know what’s next

[chorus]

kaokote, ukipata , enjoy

kaokote, ukipata , enjoy

kaokote, ukipata, enjoy
kaokote ukipata enjoy

[outro]

tunchy mastеr

dj keep it on repeat au vipi!?


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...