lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - dewji

Loading...

kama hujawahi pata hii experience let’s not talk about money

99

pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya dewji

pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya dewji

maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya dewji

na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya~

nmeona demu akiwa kwenye ndege akapokea tiketi ya ndege nyingine

yupo safari anamfata mchizi huku anapanga safari nyingine

na hapo bado nna chance nkipandishe dau atasepa na mimi pengine

ila kwa credit card ya dewji ndo ningewagea story nyinginе

ushawahi rudishiwa kodi ukahama kisa kuna mwana tu amepanda dau?

au demu wako miaka mitano akiri kabisa amekusahau?

uchеlewe ndege asubuhi upande nyingine jioni na umeshasahau?
umewahi kuona wakiwa wanatubu mbele ya watu waliowadharau?

champagne tu ni bei ya kiwanja ukiwa na credit card ya ~

kwetu nimeona machizi wakidanja kutafuta credit card ya dewji

ushawahi toka na bebe ambayo baba ake ana credit card ya dewji?

ukala suti kwa family day mbele ya mkweo ukiwa na dread?

pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya dewji

pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya dewji

maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya dewji

na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya~

credit card ya mo

credit card ya mo

credit card ya mo
credit card ya mo

credit card ina more

credit card ina more

credit card ina more

credit card ina more

mbele ya muda niko far east

ngoma natunga ziko far east

mi sishindani na presha ya west, why? maana niko far east

speed na nguvu ya kutosha kufika aliko dangote, capitalist

nikiona hela ina hang nafungua mf~ko naweka, opportunist

family dinner ni bei ya kiwanja ukiwa na credit card ya~ uh

vikao vya familia utasikilizwa tu kama ukiwa na ~ uh

you talk about money ila pesa ikiongea huskii
ndo maana manzi ako ndo hakutii

huwezi imagine unavusha demu wa nchi jirani ukiwa na ~

in your family tree who is financially free?

nani anaeweza kupaki mpira mkali majirani wote waka pree?

nani anaeweza kulipa mishahara watu elfu moja wakala ugali?

umewahi kuona mtoto anabadili dini na familia ikakubali?

pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya dewji

pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya dewji

maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya dewji

na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya~

credit card ya mo

credit card ya mo

credit card ya mo

credit card ya mo

credit card ina more

credit card ina more

credit card ina more

credit card ina more

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...