lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - dangerous desire

Loading...

[intro : azeezah]

i’m here babe i can cook, i can clean and i can take care of you.. na ukinioa tu mimi wallah mi naachana na hizi story za media nakuwa mke nyumbani natulia yani hata siongei hata urban~tone siimbi tena ni wewe tu my love

(kemets)

this is for my african girl anaetafuta love

blessed with the natural beauty kutoka above

craving for attention, struggle ya ku upgrade status

kuhakikisha anaweza kuishi fantasies

friends wana’fly sana kwenda turkey na dubai

kwake hata kuvuka maji kwenda zenji tu nishai

wala hajui anything hata kuhusu business class

bado yuko different class

akitoka out kwa hela yake ni uhakika tu atakula rent

wenzake wanatoka jumatatu na hawajalipa cent
kuna muda anajiuliza maybe mimi niko slow?

kila akipambana anaona wenzake wanafanya more

birthday loading, boyfriend sucks

sugar dady anaomba tu account aweke few bucks

top up simu haipendezi na izo screen cracks

hana mood swings ukimpa jax

meanwhile anahitaji kuwa na mtu ambae yuko commited

angel kwenye ku provide, kwenye bed wicked

kama mbele yako haoni future wala gari ambayo itamfikisha

ni swala la muda kuwa deleted

raised kwenye dini ila recently

mambo mengi yamechukua nafasi kwenye moyo mpaka yesu amemuweka dp

na ndo huyo una mpango wa kumkabidhi moyo pia
sasa atashindwaje kukupa bp

babygirl take it slow

hebu pumzisha body, slow down slow

umekamilika body, so and so

hauhitaji surgery ni 4 plus 4

put on your favorite outfit right now

go have fun uenjoy ulichonacho now

vyote unavyohisi ukivipata ndio vitakupa furaha, haviwezi kupa kama huna right now

kuna muda unaamka bila nguvu ya kuendelea

ila kila changamoto ina mlango wa kutokea

ukumbuke hofu hata iwe kubwa kiasi gani

haitaweza kuzuia linaloenda kutokea

dangerous dangerous
kila nachofanya ni dangerous

foes wananihanya, i’m dangerous

hizi side waga ni dangerous

dangerous dangerous

kila nachofanya ni dangerous

foes wananihanya, i’m dangerous

hizi side waga ni dangerous

[verse 2]

cheki behind the bars

utajua story behind the scars

giza lililoko behind the stars

siwezi kuwa innocent maana mitaa inanipa hela kusikia niko behind the bars

kwenye kila hardtime i still survive

ukiona bado unateseka haujafa, you are still alive

ubinadam kazi mbaya sio 9~5

unaifanya siku 365

hii ni kwa nnae muona kwenye kioo

mwisho wa kuogopa ndio maisha yanapoanza

giza hutoweka siku mpya inapoanza

try tu, inuka hapo ulipo, anza

uoga unafanya idea zinabaki kuwa idea

mwisho wake unakutoa kwenye nia

kuridhisha kila mtu ni kujichimbia grave

na ukifanya hiyo kazi utaishi kama slave

shida unapotaka kuridhisha mtu utajitesa maana kuna wengi hata wao hawajui nini wanachohitaji

unaeza ukampa kila ulichonacho moyo wake ukatulia kwa anaempa kila anachohisi anakihitaji

right now ndipo ilipo glory

sitaki kuangalia past nlivyokua na worries

maana kila new day ni chance ya kupgrade

ni chance ya ku update

ni chance ya ku change your story

nishakosa chance kibao to this date

sio kila chance inazaa regret

muda nnaospend katika enjoy~ment

sihesabu kama ni time na waste

don’t kill yourself kutafuta engagement

hauhitaji watu waku’validate

nishawahi zipa career existence

mi na hawa loosers hatuwezi debate

pesa ziko clean man roho ndio evil

utashangazwa kila leo watu ndo walivyo

wanaonitafuta kunipata very simple

watazame juu yao kuona mi nilipo

kama cotton buds nikiingia kwenye kila sikio nasafisha ndani na kufanya iwe fun (yeah)

uelekeo ni juu na hakuna u~turn

dining nacheza na toothpick mkisubiri table zi’turn, oya!

dangerous dangerous

kila nachofanya ni dangerous

foes wananihanya, i’m dangerous (young star naitwa..)

hizi side waga ni dangerous (rapcha mchizi toka shy town)

dangerous dangerous

kila nachofanya ni dangerous

foes wananihanya, i’m dangerous

hizi side waga ni dangerous


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...