
lirik lagu rapcha - comfort zone
[intro: rapcha]
welcome to my world
[verse 1: rapcha]
struggle ya ku~breakthrough
nikiwa nachana na wanangu toka same school
six months tuna views kama buku
stress kilo juu ya pillow kila usiku
wana wanapiga laki kwa masaa tu
mi nawaza j~po hata elfu k~mi itanitosha tu
siku niliyopata laki nkaona kuwa nahitaji more
maisha yakachange zaidi kuwa unconfortable
comfortability sucks
inafanya ushindwe kuchukua
maamuzi ya kuifanya future ikawa bright
imefanya wana wengi washindwe sepa home
wakaanze maisha wakiogopa kufight
take risks in a better way
sikuwa comfortable nlipokuja kuanza hustle town nkiwa na 40k
ukihisi umerelax jua umestalk haumove
at the end of the time ni time umeloose
mf~ko unapokua majuk~mu nyomi
ukiwa comfort zone kuna blessings hauzioni
utaridhika kwa vitu vidogo tu ukihofia risks
ndoto zako kubwa unaf~kia shimoni
sometimes wanangu mfunguke mpate unafuu
maisha hayaezi kuwa smooth kama pool table ni zaidi ya kung fu
ukiangalia shida unazo face ni ndogo tu
kwa baraka nyingi anazokupa alie juu
[chorus: banana zorro]
get up stand up
amka kitandani
toka magettoni
ingia mtaani
comfort zone
comfort zone
comfort zone
[post chorus: nini]
i’m not like that
i’m not like that
i’m not like that, i can’t be that
i’m not like that, i can’t be that
[verse 2: rapcha]
pray for your soul pray for your goals
love what you have, don’t let it go
thamini what you have ndo upate more
watakugoogle your name, they gone google my name
hard time inaboost your intelligence
ukitaka wepesi get ready for the consequences
kuna vitu jah anakufunza kwa experience
inahitaji faith, patience na obedience
wanangu mfunguke mpate unafuu
msijitie tu vitanzi mkajitundika juu
uhai una thamani kubwa zaidi vyote tunavyopoteza
na mwanao akikuamini kuwa na kifua
unajua kupenda vitu rahisi inazaa uvivu
uvivu unazaa generation iliyojaa wivu
wivu unazaa ubinafsi na kurudishana nyuma kwahiyo
usilee mazoea mpaka yafanye uwe comfortable
kataa vitonga bro
i took it from the bible
so, real man atakula kwa jasho na haipingwi ivo
genesis chapter three : 17~24
since pale maisha hayajawahi kuwa comfortable
[chorus: banana zorro]
get up stand up
amka kitandani
toka magettoni
ingia mtaani
comfort zone
comfort zone
[verse 3: banana zorro]
mguu unaotoka ndio uliobarikiwa
usichoke gonga hodi kila mlango
kuna siku utafunguliwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tume sod - невесть (who knows)
- lirik lagu klaus noir - chester
- lirik lagu fryta - mijają lata
- lirik lagu 5x1000 (kilo and penta!) - tidal rush english cover
- lirik lagu bankirkash, haru matsui, 4oruxa & grindrr - secret stashroom
- lirik lagu l.a.x - para
- lirik lagu dank nity - stop n go
- lirik lagu 420sshhxx - majorka
- lirik lagu phase connect - from our hearts
- lirik lagu шура (shura) (rus) - сказка (tale)